Jitu fidhuli, katili, shetani la Jiwe, dhulumati mkubwa wa Lisu, . takataka tupu!Za jioni Wakuu.
Jobu Ndugai Spika aliyeweka rekodi ya kujiuzulu amewataka Wananchi kuacha kulaumu na Kulalamikia Watawala na Vyama vya Siasa badala yake wafanye kazi Ili kujikwamua kwenye umaskini na kujiletea Maendelea.
Ameongeza kwamba Wasitegemee Vyama vya Siasa kuwaletea Maendelea.
Tiririka hapa [emoji116]
Za jioni Wakuu.

Yupo sahihi, ametoa ushauri mzuri Sana..Za jioni Wakuu.
Jobu Ndugai Spika aliyeweka rekodi ya kujiuzulu amewataka Wananchi kuacha kulaumu na Kulalamikia Watawala na Vyama vya Siasa badala yake wafanye kazi Ili kujikwamua kwenye umaskini na kujiletea Maendelea.
Ameongeza kwamba Wasitegemee Vyama vya Siasa kuwaletea Maendelea.
Tiririka hapa [emoji116]
Umeandika nini!!??Yeye anafanya kazi gani?
Kadhalilishwa, anaona taabu kuuachia ubunge wkt ana marupurupu ya uspika mpaka atakapokufa.
Huyu jamaa MUNGU kamwacha makusudi ili aone nna nchi ilivyojaa furaha chini ya Samia
Hakujihuzulu isipokuwa alifukuzwa na CCM wenzake, kwa kifupi huyu mzee ni mshenzi snHata yeye alijiuzulu baada ya kulalamika. Kila mmoja ana haki ya kutoa maoni
CCM ipo pale kupiga pesa za ummaHaya ni mabadiliko chanya katika uendeshaji wa siasa za Chama chetu. CCM wameamua kuwa wakweli zaidi kinyume na maneno waliyotuzoeza kwamba tukiichagua...
Achakubwekaa, alikuibia ni mwamba huyu wa siasaJizi kubwa halina hata aibu kuongea! Rudisha kwanza pesa yetu uliyotumbua tukianzia na ile bilioni ya matibabu ya India! Mnatia hasira sana na wanaowasikilza ni wajinga!
Kwanini aliomba radhi? Jinga 2 hili gogoAlijiuzulu kwa kuwa amekomaa kisiasa. Kama hukubaliani na jambo basi pisha wengine.
Alikosea timing tuu. Mikopo ilichukuliwa sana enzi za utawala wa magufuli yeye akiwa spika na hakuwahi kulisema hilo ila sasa kuja kuongea katika utawala huu wa 6 anaonekana mnafiki.Ndugai alikosea alipoomba radhi kwa kuongea ukweli kuhusu deni la taifa,
Alopaswa asimamie alichosema ambacho ndio ukweli, na kuna siku tutakumbuka kauli yake.
Alipotishwa kidogo kaomba radhi kwa haki yake ya kutoa maoni, na hawakumsamehe wakamzonga hadi kautema uspika wa bunge
[emoji1] hvi bado mnawaamini wanasiasa wa nchi hiiWe mzee bora ungeendelea kukaa kimya tu maana tulikua tunaanza kudhania akili zimekurudia.
Bilionea.Sawa tajiri ndugai
Wamekusikia
Ova