Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania.
Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba.
Sasa, watanzania wanataka kufahamu ukweli, nini tatizo mpaka mkuu wa Ccm na wanaccm wakakusakama japokuwa sio wote.
Itisha mkutano na wanahabari na uweke wazi mambo.