Job Ndugai watanzania wanataka kufahamu ukweli, itisha press conference. Eleza ukweli, tatizo ni mkopo au urais?

Job Ndugai watanzania wanataka kufahamu ukweli, itisha press conference. Eleza ukweli, tatizo ni mkopo au urais?

Kama anazo mbupu mbili aitishe aone RANGI halisi ya mzanzibar
 
Mdiga Hana kosa Ila boss wake ndo ameona kosa lake.
Kwanini useme "mama anakopa kopa Sana"?
Nia yako nini wananchi wamchukie rais?
Mhe. Ndugai kwa maoni yangu hana kosa. Kuhoji kama Mtanzania ana kosa gani. Suala hili lilikuzwa kwenye magazeti, mitandao ya kijamiii na hii imemfanya Mhe. Ndugai kujiuzulu.
 
Back
Top Bottom