Kwa akili yako unafikiri atafanya hivyo? Utangoja sanaMpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania.
Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba.
Sasa, watanzania wanataka kufahamu ukweli, nini tatizo mpaka mkuu wa Ccm na wanaccm wakakusakama japokuwa sio wote.
Itisha mkutano na wanahabari na uweke wazi mambo.
Hatokusikia. Kwasasa yuko ktk mikono salama hadi halo irudi kuwa shwari.Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania.
Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba.
Sasa, watanzania wanataka kufahamu ukweli, nini tatizo mpaka mkuu wa Ccm na wanaccm wakakusakama japokuwa sio wote.
Itisha mkutano na wanahabari na uweke wazi mambo.
Alikuwa spika wa kwenye media au spika wa Bunge?Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania.
Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba.
Sasa, watanzania wanataka kufahamu ukweli, nini tatizo mpaka mkuu wa Ccm na wanaccm wakakusakama japokuwa sio wote.
Itisha mkutano na wanahabari na uweke wazi mambo.
Kuhoji sio kosa kama na wewe unaamini kwamba MTU yeyote kuhoji sio kosa !!!Mhe. Ndugai kwa maoni yangu hana kosa. Kuhoji kama Mtanzania ana kosa gani. Suala hili lilikuzwa kwenye magazeti, mitandao ya kijamiii na hii imemfanya Mhe. Ndugai kujiuzulu.
NDUGAI kasema Tatizo ni Mikopo Wewe ndio unasema URAISMpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania.
Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba.
Sasa, watanzania wanataka kufahamu ukweli, nini tatizo mpaka mkuu wa Ccm na wanaccm wakakusakama japokuwa sio wote.
Itisha mkutano na wanahabari na uweke wazi mambo.
Hutasikia tena akiitisha press zake hizo ile taasisi one nguvu sanaMpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania.
Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba.
Sasa, watanzania wanataka kufahamu ukweli, nini tatizo mpaka mkuu wa Ccm na wanaccm wakakusakama japokuwa sio wote.
Itisha mkutano na wanahabari na uweke wazi mambo.
Mbona unataka kumkaanga, bado ni mbunge kwa tiketi ya CCM.Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania.
Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba.
Sasa, watanzania wanataka kufahamu ukweli, nini tatizo mpaka mkuu wa Ccm na wanaccm wakakusakama japokuwa sio wote.
Itisha mkutano na wanahabari na uweke wazi mambo.
Ndugai tunayemjua kwa sasa hana nguvu ata ya kwenda chooni kujisaidia yeye mwenyewe, eti atoke nje atafute muandishi wa habariMpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania.