mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Jan 8, 2022 #21 Kama anazo mbupu mbili aitishe aone RANGI halisi ya mzanzibar
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Jan 8, 2022 #22 Mdiga Hana kosa Ila boss wake ndo ameona kosa lake. Kwanini useme "mama anakopa kopa Sana"? Nia yako nini wananchi wamchukie rais? Koryo2 said: Mhe. Ndugai kwa maoni yangu hana kosa. Kuhoji kama Mtanzania ana kosa gani. Suala hili lilikuzwa kwenye magazeti, mitandao ya kijamiii na hii imemfanya Mhe. Ndugai kujiuzulu. Click to expand...
Mdiga Hana kosa Ila boss wake ndo ameona kosa lake. Kwanini useme "mama anakopa kopa Sana"? Nia yako nini wananchi wamchukie rais? Koryo2 said: Mhe. Ndugai kwa maoni yangu hana kosa. Kuhoji kama Mtanzania ana kosa gani. Suala hili lilikuzwa kwenye magazeti, mitandao ya kijamiii na hii imemfanya Mhe. Ndugai kujiuzulu. Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 8, 2022 #23 Ngoja aje kutoa muongozo...