Job Ngugai, Spika aliyejiuzulu atalipwa 80% ya Mshahara wa Spika maisha yake yote

Job Ngugai, Spika aliyejiuzulu atalipwa 80% ya Mshahara wa Spika maisha yake yote

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2012
Posts
5,070
Reaction score
13,511
1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.

2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.

3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.

4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week.

5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa Spika.

6. Atakuwa na benefits za ubunge wa Kongwa mpaka atakapoachia ngazi au kupigwa chini na wananchi wa jimbo.

Uongozi mtamu.
 
Hao watu hawajielewi

Ova
Hao wanajielewa boss na hawatatoka barabarani. Wasiojielewa ni hao watakaowasikiliza bila kufikiri wakakimbilia virungu huku wakiacha watoto wao na familia nyumbani kwa jina la maandamano ya kumtetea ndugai.
 
Hao watu hawajielewi

Bado mpunga aliyekuwa kuwa nawo

Kwenye ac yake ,atakula maisha burdannnn

Ova
Kama sikosei na akiumwa pia Serikali ndio inalipia gharama za matibabu.
 
1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.

2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.

3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.

4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week.

5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa Spika.

6. Atakuwa na benefits za ubunge wa Kongwa mpaka atakapoachia ngazi au kupigwa chini na wananchi wa jimbo.

Uongozi mtamu.

Source: Clouds Media Group.
Ndio africa
 
Hayo mafao ya Ubunge wa Kongwa ni mpaka 2025 na ni kheri aendelee yeye maana hata akijiuzulu ubunge, CCM itatumia Tume ya uchaguzi kuweka pandikizi lao lingine na uchaguzi taulipia kwa kodi zetu.
 
Yaani anakula kiinua mgongo cha uspika kwanza. Tukitoka hapo anakula viinua mgongo vya ubunge. Alichopoteza ni kuendelea kua na cheo cha uspika. Ila maisha kaisha maliza

Kongwa oye, soko la ndugai oye..
Ndio maana vita ya uongozi ni kubwa sana.
 
Bayou mafao ya Ubunge wa Kongwa ni mpaka 2025 na ni kheri aendelee yeye maana hata akijiuzulu ubunge, CCM itatumia Tume ya uchaguzi kuweka pandikizi lao lingine na uchaguzi yutaulipia kwa kodi zetu.
Kweli kabisa Madam.
 
Ndio maana sisiyemu wanataka kuendelea kubakia madarakani.

Sahivi tunaongeza spika mwingine wa miaka 3 ila atalipwa kama spika wa miaka 10 maisha yake yote
Vijana wa CCM hili hawaliwazi wao wanaangalia matumbo yao tuu.
 
Back
Top Bottom