Hela siyo kila kitu mkuu kwa mtu kama Job kitovaa lile joho hata umpe milioni ngapi hatokuwa sawa. Huyu atakufa very soon alijiweka kwenye level ya Miungu wa chache wa dunia hii1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.
2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.
3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.
4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week.
5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa Spika.
6. Atakuwa na benefits za ubunge wa Kongwa mpaka atakapoachia ngazi au kupigwa chini na wananchi wa jimbo.
Uongozi mtamu.
Source: Clouds Media Group.