Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wasichopenda kupoteza ni ile Prestige. Hayo mapesa wameshajiweka vizuri sana.Kumbe bhana cha kupoteza kabisaaa.
Sheria ikibadirishwa inaanzia kung'ata kuanzia hapo ilipobadilishiwa, hairudi nyuma. Hapo nyuma panabaki na sheria ya wakati ule.Wakiamua kumsagia kunguni ni chapu tu muswada unapelekwa bungeni sheria inabadilishwa huyoo segerea sema ccm wanapendana hata wawe vipi hawatafkia huko
Mungu akiamua kumruhusu israel afanye wajibu wake mbona mzigo kwa serikali utapungua fasta tu.Mzigo kwa taifa ni mkubwa mno.
1. Mwinyi
2. Kikwete
3. Msuya
4. Lowasa
5. Pinda
6. Malecela
7. Makinda
8. Warioba
9. Ndugai
10. Sheni
11. Bilali
12. Majaji
13. Mabrigedia
n.k
Akifa kama mwendazake? Bado atapata tu
Alipwe tu maana ni haki yake...hakuna tatizo.Je unajua baada ya Ndugai kujiuzulu;
1.Atakuwa akilipwa 80% ya mshahara wa spika aliyepo bungeni maisha yake yote.
2.Gari Jipya VX V8 litakuwa lake binafsi
3.Dereva atakayelipwa na Serikali kwa maisha yake yote
4.Mafuta ya gari Lita 70 kila wiki
5.Kiinua mgongo 50% ya fedha aliyowahi kulipwa mshahara alipokuwa spika
6.Bado atakuwa na maslahi ya ubunge mpaka wana kongwa watakapomchoka.
Chanzo: #Clouds360 live kutoka Mtwara
Walijiandalia mafao na marupurupu mazuri sana. Wala, hana taabu kwenye maisha tena1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.
2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.
3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.
4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week.
5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa Spika.
6. Atakuwa na benefits za ubunge wa Kongwa mpaka atakapoachia ngazi au kupigwa chini na wananchi wa jimbo.
Uongozi mtamu.
Source: Clouds Media Group.
Usiogope kwani huna imani na wasimamizi wa uchaguzi?Hayo mafao ya Ubunge wa Kongwa ni mpaka 2025 na ni kheri aendelee yeye maana hata akijiuzulu ubunge, CCM itatumia Tume ya uchaguzi kuweka pandikizi lao lingine na uchaguzi taulipia kwa kodi zetu.
Lakini nawajimbo angetupa chini anze tu maisha ya kawaida.Mpunga ataendelea kula lakini uongo atakuwa anajitoa kwa kujifichaficha aibu tupu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Shangaa tu wale wanaoshangilia eti kaangukaHalafu kuna watu wanawaza kushawishi kuamdamana sababu yake.
Sasa mbona unashangilia eti kaanguka?Alipwe tu maana ni haki yake...hakuna tatizo.
Kabisa.Vichaa hao,labda wangesema tuandamane kupunguza benefits za wastaafu .
Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya na watumishi kila siku kuwasema hasa Tarura.
😂😂😂 anashangilia huku kodi ya nyumba hajaipata bado.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Shangaa tu wale wanaoshangilia eti kaanguka
that is why we are poor, tunalipa kodi kuwanenepesha vibaka, muangalie ndugai amevimba kama anaelekea kupasuka1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.
2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.
3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.
4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week.
5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa Spika.
6. Atakuwa na benefits za ubunge wa Kongwa mpaka atakapoachia ngazi au kupigwa chini na wananchi wa jimbo.
Uongozi mtamu.
Source: Clouds Media Group.
Sasa inabidi Nikakue supika1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.
2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.
3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.
4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week.
5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa Spika.
6. Atakuwa na benefits za ubunge wa Kongwa mpaka atakapoachia ngazi au kupigwa chini na wananchi wa jimbo.
Uongozi mtamu.
Source: Clouds Media Group.
Hiyo ni ndani ya sheria sio upendeleo. Hadi maisha yake yoteBado sijaelewa wakuu, yaan atalipwa mshara 80% maisha yake yote adi siku atakapokufa au adi muda wa kustaafu rasmi ukifika