Job Ngugai, Spika aliyejiuzulu atalipwa 80% ya Mshahara wa Spika maisha yake yote

Job Ngugai, Spika aliyejiuzulu atalipwa 80% ya Mshahara wa Spika maisha yake yote

Wakiamua kumsagia kunguni ni chapu tu muswada unapelekwa bungeni sheria inabadilishwa huyoo segerea sema ccm wanapendana hata wawe vipi hawatafkia huko
Sheria ikibadirishwa inaanzia kung'ata kuanzia hapo ilipobadilishiwa, hairudi nyuma. Hapo nyuma panabaki na sheria ya wakati ule.
 
Mzigo kwa taifa ni mkubwa mno.
1. Mwinyi
2. Kikwete
3. Msuya
4. Lowasa
5. Pinda
6. Malecela
7. Makinda
8. Warioba
9. Ndugai
10. Sheni
11. Bilali
12. Majaji
13. Mabrigedia
n.k
Mungu akiamua kumruhusu israel afanye wajibu wake mbona mzigo kwa serikali utapungua fasta tu.
 
Je unajua baada ya Ndugai kujiuzulu;

1.Atakuwa akilipwa 80% ya mshahara wa spika aliyepo bungeni maisha yake yote.

2.Gari Jipya VX V8 litakuwa lake binafsi

3.Dereva atakayelipwa na Serikali kwa maisha yake yote

4.Mafuta ya gari Lita 70 kila wiki

5.Kiinua mgongo 50% ya fedha aliyowahi kulipwa mshahara alipokuwa spika

6.Bado atakuwa na maslahi ya ubunge mpaka wana kongwa watakapomchoka.

Chanzo: #Clouds360 live kutoka Mtwara
Alipwe tu maana ni haki yake...hakuna tatizo.
 
1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.

2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.

3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.

4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week.

5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa Spika.

6. Atakuwa na benefits za ubunge wa Kongwa mpaka atakapoachia ngazi au kupigwa chini na wananchi wa jimbo.

Uongozi mtamu.

Source: Clouds Media Group.
Walijiandalia mafao na marupurupu mazuri sana. Wala, hana taabu kwenye maisha tena
 
Mpunga ataendelea kula lakini uongo atakuwa anajitoa kwa kujifichaficha aibu tupu
 
Hayo mafao ya Ubunge wa Kongwa ni mpaka 2025 na ni kheri aendelee yeye maana hata akijiuzulu ubunge, CCM itatumia Tume ya uchaguzi kuweka pandikizi lao lingine na uchaguzi taulipia kwa kodi zetu.
Usiogope kwani huna imani na wasimamizi wa uchaguzi?
 
Bado sijaelewa wakuu, yaan atalipwa mshara 80% maisha yake yote adi siku atakapokufa au adi muda wa kustaafu rasmi ukifika
 
1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.

2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.

3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.

4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week.

5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa Spika.

6. Atakuwa na benefits za ubunge wa Kongwa mpaka atakapoachia ngazi au kupigwa chini na wananchi wa jimbo.

Uongozi mtamu.

Source: Clouds Media Group.
that is why we are poor, tunalipa kodi kuwanenepesha vibaka, muangalie ndugai amevimba kama anaelekea kupasuka
 
Bado sijaelewa wakuu, yaan atalipwa mshara 80% maisha yake yote adi siku atakapokufa au adi muda wa kustaafu rasmi ukifika
Hadi siku atakayo n'gata shuka mkuu.
 
1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.

2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.

3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.

4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week.

5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa Spika.

6. Atakuwa na benefits za ubunge wa Kongwa mpaka atakapoachia ngazi au kupigwa chini na wananchi wa jimbo.

Uongozi mtamu.

Source: Clouds Media Group.
Sasa inabidi Nikakue supika
 
Bado sijaelewa wakuu, yaan atalipwa mshara 80% maisha yake yote adi siku atakapokufa au adi muda wa kustaafu rasmi ukifika
Hiyo ni ndani ya sheria sio upendeleo. Hadi maisha yake yote
 
Back
Top Bottom