Hao watu hawajielewiHalafu kuna watu wanawaza kushawishi kuamdamana sababu yake.
Hao wanajielewa boss na hawatatoka barabarani. Wasiojielewa ni hao watakaowasikiliza bila kufikiri wakakimbilia virungu huku wakiacha watoto wao na familia nyumbani kwa jina la maandamano ya kumtetea ndugai.Hao watu hawajielewi
Ova
Ndio africa1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote.
2. Gari la VX V8 ni lake binafsi.
3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote.
4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week.
5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa Spika.
6. Atakuwa na benefits za ubunge wa Kongwa mpaka atakapoachia ngazi au kupigwa chini na wananchi wa jimbo.
Uongozi mtamu.
Source: Clouds Media Group.
Ndio maana vita ya uongozi ni kubwa sana.Yaani anakula kiinua mgongo cha uspika kwanza. Tukitoka hapo anakula viinua mgongo vya ubunge. Alichopoteza ni kuendelea kua na cheo cha uspika. Ila maisha kaisha maliza
Kongwa oye, soko la ndugai oye..
Ndio maana vita ya uongozi ni kubwa sana.
Hao sasa wana lao jamboHalafu kuna watu wanawaza kushawishi kuamdamana sababu yake.
Upuuzi huuHalafu kuna watu wanawaza kushawishi kuamdamana sababu yake.