Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Is not easy to find a way through.Ni wazo zurii ila kujitolea napo nafasi azipatikanii, me naamini jitihada inabidii zianze toka chuoni kwa kuungana watu watatu watano au zaidi na kujaribu vitu mbali mbali kama group kama kuandaa mawazo na kuomba fund na kushiriki mashindano mbali mbali duniani lengo likiwa kutafuta capital kwa ajili ya start up yenu binafsi , huku mkienda field mna add value sehemu iyo mpaka mkiondoka wa wawaze Mara mbili mbil
Mana unaenda field kufundishwa practice. Watu wengi hawajui kuwa ukizitumia vizur organization za wanafunzi mavyuoni kimkakati unaonekana. Vyuo vingi vya afya kama muhas wanatumia approach hii
Udsm wanasiasa na walim wote hawana mbele wala nyuma. Nimeiona walim wa chuo flan wako pia na organizations mjini wanawapa intern na kuwapa koneksheni wanafunzi wao vyuoni. Wengi wa wanafunzi wakiwa chuo wanawaza kutombaner tu.