Jobless: Kila hatua dua

Jobless: Kila hatua dua

Ni wazo zurii ila kujitolea napo nafasi azipatikanii, me naamini jitihada inabidii zianze toka chuoni kwa kuungana watu watatu watano au zaidi na kujaribu vitu mbali mbali kama group kama kuandaa mawazo na kuomba fund na kushiriki mashindano mbali mbali duniani lengo likiwa kutafuta capital kwa ajili ya start up yenu binafsi , huku mkienda field mna add value sehemu iyo mpaka mkiondoka wa wawaze Mara mbili mbil
Is not easy to find a way through.
Mana unaenda field kufundishwa practice. Watu wengi hawajui kuwa ukizitumia vizur organization za wanafunzi mavyuoni kimkakati unaonekana. Vyuo vingi vya afya kama muhas wanatumia approach hii

Udsm wanasiasa na walim wote hawana mbele wala nyuma. Nimeiona walim wa chuo flan wako pia na organizations mjini wanawapa intern na kuwapa koneksheni wanafunzi wao vyuoni. Wengi wa wanafunzi wakiwa chuo wanawaza kutombaner tu.
 
😂 maneno ya aina hii yanatoka kwetu kajamba nani, uwezi pambana usione progress unless we umeamua tu maisha yako yawe ivoo

"For those who talk, don't know and for those that know, don't talk"

Mkuu kuna watu wamepambana hujawahi ona na bado all goes wrong, sikatai kuwa kuna sehemu inaweza ikawa bado inapwaya kwao ila kutafuta haikupi uhakika wa kupata na ndio maana kukaitwa kutafuta.
 
Hapo umenena mkuu
 
Yan nacho jaribu kusema ni kwamba mtu akiwa kwenye mapambano ya maisha ndio kuna kushindwa kupiga hatua lakini sio kusogea kutaka hapa kwenda pale unaweza shindwaa kumiliki kampuni kama mfanya biashara mkubwa lakini ukawa na uhakika wa kula na kunywa , au unaweza ukashindwa kujenga jumba la kifahari lakini ukapata mahali pa kulala na watoto wakapafurahia, kama umewahi kuwa na watu wa karibu ambao kuna wavivu na wachapakazi ndani yake utaona hili, kusema kwamba binadamu anaweza pambana na alikuwa apati chakula ana akaishi miaka ishirini mbele akafa awezi ivo ivo kupata chakula hapana nakataa
 
Labda mtu binafsi ana shida ambazo kwa macho amuoni, tumewahi kuwa na ndugu anayepewa mtaji ila biashara azisogeii na maisha yake yako vile vile kila siku baada ya kuwa tegemezi sana mdogo wake akaamua kumpa mtaji na kuanza kusimamia mapato na matumizi kwenye biashara ya kaka yake kuja kukaa mwaka akagundua kaka yake sio biashara aziendi zote huwa ana tabia ya kuchota mtaji kidogo mala kwa mala na kupeleka kwa waganga kufanya matambiko ya yeye kufanikiwa ela alizokuwa anapeleka ni nyingi anajikuta mtaji unakufa na akuna mganga aliyemsaidia.
 
Msisahau kula wakuuu. Mana ujobles na stress na kujibana kula kunaenda sambamba.

Maisha sio lazima yakubali ndugu zangu hatuyadai kitu. Nimekuwa winga siku hizi na natoka kitambi fresh tu
😂mkuu wewe si umetoka kusema kuna office ulipewa link ya fulani kanituma ukawa unaingia saa 3 na sasa unaenda kutembelea wafanyakazi makwao na gari za office ama nina wenge la njaa?
 
Yan nacho jaribu kusema ni kwamba mtu akiwa kwenye mapambano ya maisha ndio kuna kushindwa kupiga hatua lakini sio kusogea kutaka hapa kwenda pale unaweza shindwaa kumiliki kampuni kama mfanya biashara mkubwa lakini ukawa na uhakika wa kula na kunywa , au unaweza ukashindwa kujenga jumba la kifahari lakini ukapata mahali pa kulala na watoto wakapafurahia, kama umewahi kuwa na watu wa karibu ambao kuna wavivu na wachapakazi ndani yake utaona hili, kusema kwamba binadamu anaweza pambana na alikuwa apati chakula ana akaishi miaka ishirini mbele akafa awezi ivo ivo kupata chakula hapana nakataa

Dhana ya mafanikio ni very subjective ndugu yangu. Kama mtu anaona food security na kupata sehemu ya kulala tu ndio mafanikio, basi well and good. Ninachojua kwa uhakika ni kwamba tarajio la kwanza la binadamu wengi wakiwa kwenye kupambana ni kupata mali na maisha mazuri kwaajili yake na familia. Sidhani kama ina amount kuitwa progress kwa mtu mwenye umri wa miaka 30 akiwa na uhakika wa kula na mahali pa kulala, there's more needed.
 
Back
Top Bottom