Mto wa mbu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2021 Posts 2,228 Reaction score 3,045 May 9, 2023 #21 torvic said: bora yako mkuu, umeweza kuelezea hiyo hali. Sisi wengine hadi tunakuwa mabubu yani maumivu ndani kwa ndani machozi ndani kwa ndani. taratibu jamii imenakutenga unaonekana mwehu. Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
torvic said: bora yako mkuu, umeweza kuelezea hiyo hali. Sisi wengine hadi tunakuwa mabubu yani maumivu ndani kwa ndani machozi ndani kwa ndani. taratibu jamii imenakutenga unaonekana mwehu. Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
mimi mtakatifu JF-Expert Member Joined Oct 11, 2019 Posts 248 Reaction score 539 May 10, 2023 Thread starter #22 emmarki said: Aisee cha kwanza tambua hiyo situation haupitii wewe peke yako, tuko wengi mkuu ila tunatofautiana kimtazamo akilini. Viko vingi ningeweza kukuambia lkn anza na hilo Click to expand... Unafanyaje kupata relief mkuu?
emmarki said: Aisee cha kwanza tambua hiyo situation haupitii wewe peke yako, tuko wengi mkuu ila tunatofautiana kimtazamo akilini. Viko vingi ningeweza kukuambia lkn anza na hilo Click to expand... Unafanyaje kupata relief mkuu?
mimi mtakatifu JF-Expert Member Joined Oct 11, 2019 Posts 248 Reaction score 539 May 10, 2023 Thread starter #23 torvic said: rahisi kusema jikaze bila kujua ajikazie wapi Click to expand... Umeongea uhalisia.
mimi mtakatifu JF-Expert Member Joined Oct 11, 2019 Posts 248 Reaction score 539 May 10, 2023 Thread starter #24 torvic said: bora yako mkuu, umeweza kuelezea hiyo hali. Sisi wengine hadi tunakuwa mabubu yani maumivu ndani kwa ndani machozi ndani kwa ndani. taratibu jamii imenakutenga unaonekana mwehu. Click to expand... Acha tu mkuu sometimes unahitaji hata faraja tu lakini 365 days ni maumivu na mateso.
torvic said: bora yako mkuu, umeweza kuelezea hiyo hali. Sisi wengine hadi tunakuwa mabubu yani maumivu ndani kwa ndani machozi ndani kwa ndani. taratibu jamii imenakutenga unaonekana mwehu. Click to expand... Acha tu mkuu sometimes unahitaji hata faraja tu lakini 365 days ni maumivu na mateso.
khamis kilo JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 1,137 Reaction score 1,380 May 10, 2023 #25 Vijana wa hovyo huwa wanapiga punyeto