Jobless mwenzangu, unafanyaje kupata nguvu mpya baada ya akili na mwili kuchoka na mapambano ya utafutaji maisha?

bora yako mkuu, umeweza kuelezea hiyo hali.

Sisi wengine hadi tunakuwa mabubu yani maumivu ndani kwa ndani machozi ndani kwa ndani. taratibu jamii imenakutenga unaonekana mwehu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
bora yako mkuu, umeweza kuelezea hiyo hali.

Sisi wengine hadi tunakuwa mabubu yani maumivu ndani kwa ndani machozi ndani kwa ndani. taratibu jamii imenakutenga unaonekana mwehu.
Acha tu mkuu sometimes unahitaji hata faraja tu lakini 365 days ni maumivu na mateso.
 
Back
Top Bottom