Ni akili mbovu sana... uzuri Wanaota wataamka tu baadae watajua kuwa TZ ni wakati wa Maendeleo... yatakayoletwa hivi karibuni.Kwa hiyo wewe unaombea Tanzania iwekewe vikwazo?
Kwa akili kama hizi unategemea kuna mtanzania mwenye akili timamu atawaunga mkono?
Dudu Jeupe nilikuwa nakusalimia tuTatizo huwa mnabugia kinyesi cha habari za cnn ambazo zina mlengo wa kipropaganda zaidi.
Naomba ikuingie akilini ikibidi uiingize kwa sindano "TRUMP YUPO KWAJILI YA MAREKANI MPAKA 2024"
Biden hawezi kushinda, Katika miaka yake 47 serikalini hakuna alichofanya kinachomfikia trump ambae ana miezi 47 serikalini.
Kitu pekee biden alichofanya ni kuisaliti marekani, ila kwa taka taka hizi za cnn wanaficha.
Yani biden huyu anaesumbuliwa na ubaguzi wa rangi nyeusi pamoja na matatizo ya afya ya akili atawezaje kwa mfano kuingia white house, NEEVER!!!!
Alitaka kusema Trump atashindwa, ila atagombea tena 2024 ili akamilishe muhula wake wa pili.Dudu Jeupe nilikuwa nakusalimia tu
Mtanzania anapojifanya mjuaji kuwasemea wamarekaniTatizo huwa mnabugia kinyesi cha habari za cnn ambazo zina mlengo wa kipropaganda zaidi.