1881Okoza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2022
- 693
- 949
😂😂😂 Ninecheka kingese mamea 😂Wanampatia Ukraine makombora yenye uwezo wa kupiga Moscow halafu wategemee Putin awe kama akina Tsekedi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Ninecheka kingese mamea 😂Wanampatia Ukraine makombora yenye uwezo wa kupiga Moscow halafu wategemee Putin awe kama akina Tsekedi
Google iko wapi? In real sense unaamini kila kitu unachosoma Google mkuu! Hasa kwenye sensitive information kama hizi? Kuna information huwa zinatolewa makusudi kabisa tu mislead people! Hasa za military!
Sitaki kukurudisha nyuma katika serikali ya US walitoa information za uongo kabisa wakati wa Vita vya kuvamia Kuwait! Kuwa majeshi yao yatatokea wapi! Walipeleka manowari zao za kivita karibu na Kuwait, weka kwenye News nk! Lakini wote tunajua Marekani haikuingilia hapo!
In short don't trust Google! Unapewa unachotaka ufahamu au uamini!
Huwa wanajaribia haya mabomu dunia ipi?Nuclear iliopigwa japani ni ndogo mara 700 ya mabomb ya sahivi. Na bomb la nuclear likipigwa hizo nchi msidhani mtapona, kinachoua ni nuclear fallout, ambapo upepo utabeba particle ambazo ni radio active hadi huku mnaanza kufa kwa radiation toxicity. Sasa nyie furahieni tu Kwamba wapige tu.
Kwa upendo unaoendelea Ukraine, ninaamini kabisa hakuna mtu anayeufurahia. Hakuna uzalendo mbele ya kukosa furaha ya maisha.Wenzake wanaweza kumpeleka mwenyewe na ujinga wake kwa jinsi maisha yalivyo matamu.
Sasa kwani wakijaribu wanapiga yote?Huwa wanajaribia haya mabomu dunia ipi?
Tusiogope kufa wakati hata maji ya upupu tu tunakimbia. 😛😛😛Maombi yanini Mkuu ?? Unaogopa kufa ?
Hatuna cha kusaidia sisi.Hatua za mwanzo ni yeye Biden na wachokozi wenzake.Hawa wapuuzi wanatakaje?
Ukisema hivyo ni sawa.Tukiwa katikati ya bahari akatokea mmoja wetu anataka kufanya hivyo inabidi tuzungumze naye hasa akiwa yeye ana vifaa vya kufanya hiyo kazi na amejitenga kwenye hilo jahazi.Tusikurupuke kufukuzana naye au kumtukana.Mkuu kitendo cha putin kutumia nuke ni sawa na kutoboa meli ili hali yeye mwenyewe yupo katika meli iyo iyo
Ah! Sasa kama anashindwa anasubiri nini? Hiyo ni vita bhana silaha yoyote itumike. Nyuklia sio ya maonyesho. Mwache Puttin aipige kiberiti dunia.Balaa tupu marekani kamwongezea nguvu Ukraine sasa putin anashindwa, anaona bora wote wakose
Maneno yako yanatisha.Siku ikiripuka wengi hatutoonana tena hapa.Tutakutana kuzimu kwa walo wema tutapata muda kusimuliana na wengine tutaonana kwa mbali wakilia bila kikomo.Ah! Sasa kama anashindwa anasubiri nini? Hiyo ni vita bhana silaha yoyote itumike. Nyuklia sio ya maonyesho. Mwache Puttin aipige kiberiti dunia.
Nakuhakikishia, Urusi anaweza piga nuclear Ukraine na sio US tu wala NATO atakayeweza kujibu kwa nuclear dhidi ya Urusi. Hilo nina hakika kwa 100%Ikipigwa nyuklia na Urusi, Marekani ni lazima atajibu. Hii vita itaenda kubaya sana
Urusi imesema hivyo na Marekani imesema imeshajua si utani.Nakuhakikishia, Urusi anaweza piga nuclear Ukraine na sio US tu wala NATO atakayeweza kujibu kwa nuclear dhidi ya Urusi. Hilo nina hakika kwa 100%
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sio vita mkuu NI SMOManeno yako yanatisha.Siku ikiripuka wengi hatutoonana tena hapa.Tutakutana kuzimu kwa walo wema tutapata muda kusimuliana na wengine tutaonana kwa mbali wakilia bila kikomo.
Kama mimi nilivyo na uhakika, licha ya uwezo wote wa Kinuklia, Putin sio kichaa wala mwendawazimu, hatatumia kabisa Nuclear, ana njia nyingi za kumaliza Vita hii, Nuclear wala sio option! Anajua haimwachi salama hata yeye! HANA UKICHAA HUO! Na Marekani pia, huu sio mzozo mama wa kuiingiza Katia Vita vya Nuclear!Nakuhakikishia, Urusi anaweza piga nuclear Ukraine na sio US tu wala NATO atakayeweza kujibu kwa nuclear dhidi ya Urusi. Hilo nina hakika kwa 100%
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kusema sio utani, ndio imefanya kuwa ni utani, Putin uwe unamkubali au la, simwoni kabisa ana guts kwa Vita hii kuanzisha nuclear war.Ila kwa usemi wake Marekani haikuwa na la kujibu, bali ni kusema tunajua sio utani!Urusi imesema hivyo na Marekani imesema imeshajua si utani.
Mbona husemi Nuclear inakuja kama asemavyo Putin? Na kasema hatanii! Unajua maana ya neno bluff?Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja. Marekani huyu huyu ndie aliyetahadharisha kwamba Urusi itaivamia Ukraine na kweli ikatokea. Sasa kuna uwezekano mkubwa kwamba nyuklia itatumiwa kama aonavyo Marekani. Cha msingi ni kumuomba Mungu ikitumika madhara yake yasitufikie. Inategemea itaelekezwa wapi. Washington yenyewe ikizingua inatumiwa kitu kisichozuilika.
Mkuu wengine wanaona Putin ndio mshindi! Inakuwa kama ndio pekee ana silaha hizo! Lakini wengine wanataka destruction tu! Wote tuharibikiwe! Walio mbele warudi zero! Wote tuanze moja!Kweli kabisa. Katika Vita ya nyuklia hakutakuwa na mshindi. Wote tutaangamia kama dinosaur. Hii inaitwa vita ya kichaa aka MAD, Mutual Assured Destruction