Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

Nyuklia ilipigwa Heroshima na Nagasaki, Dunia ilichakazwa vipi?

Yan kwamba atumie nuke naye apoteze raia wake?
Hiroshima na Nagasaki ni cha mtoto jamaa yangu...ile ni Atomic Bomb, Nuclear bomb ni kitu kingine kabisa..kwa kifupi ni vigumu kupata mshindi...ila ni kuvurugana na kuanza upya! Hata Urusi sidhani anataka hivyo! Putin si mjinga naye anajua fika hilo.
 
Kwani Nyuklia imeundwa ili kufanyiwa maonyesho tu? Wapigwe
Na ninachosikitika zaidi nikwamba Mimi na wewe na wananajamii kwa ujumla hatutaweza Tena pashana habari, maana hii internet itazima. Na mbaya zaidi hata kuwasiliana Tena na wazazi hatutaweza. Tena mbaya zaidi hiyo cm Yako itabakia na matumizi ya kupiga picha tu
 
Nyuklia siyo mapambo ya ndani. Yatumike tu tuheshiane.

Marekani ndiye mchochezi
 
Naongelea scenerio ya member aliyesema Dunia itaangamia! nadhan rudia kusema post husika.
Na mimi nakujibu kwa comment tako umesema "yeye Marekani alipiga lile bomu ili aangamize watu wake pia" ulikuwa unadiscredit point yake aliyosema kuwa akipiga Ukraine hata raia wa Russia pia wataangamia.Otherwise nakubaliana na hoja yako kuwa si rahisi Dunia yote kuangamia lakini kwa scenario ya Russia na Ukraine midhari ni majirani basi wote wataathirika tu
 
Mmhh hapa kunaweza kuwa na uwalakini inawezekana marekani anataka ku stage nuclear attack alafu aje asema Russia ameataki kama alivyokuwa anafanya Sirya alilokuwa anatumia chemical attacks
 
Marekani mbona na yeye alitumia kule Japan? Vita ilimshinda?
Marekani ilikuwa ni kisasi pia cha Pearl Harbour, ambacho hasa kilifanya Marekani iingie vitani. Atomic ilipigwa wakati vita ya pili ya dunia ilikuwa imefikaukingoni kabisa.Hiroshima na Nagasaki ilipigwa August 1945, Vita Viliisha September 1945! Wana historia wengi wanaona Atomic bomb ilikuwa ni kisasi binafsi dhidi ya Japan.
Japan isingeweza kuendelea na Vita wakati Ujerumani na Italy ilikuwa imeisha shindwa tayari,na Japan ilikuwa imepoteza visitation vingi bahari ya Pacific.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…