Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

Tatizo hawawezi Kupiga moja tu, Wataanza majibizano. Na sijasema yote ni makubwa nimeongelea kubwa kuliko yote ndio mara 700 ya lile la zamani.
Ukraine anapigwa tactical nuclear tu zinamtosha,hayo makubwa makubwa Ni special kwa ajili ya NATO/US vs Russia.
 
🤣🤣🤣🤣🤣naona mnatishana eti dunia inazama acheni uvivu nendeni mfanye kazi mjenge dunia hiyo nuke haiwezi maliza dunia USA yenyewe labda iangushiwe makombora yote anayo miliki Russia na North Korea.
 
Mkuu ni pande zote, hata Urusi ili iangamie labda makombora yote ya US! Ndio maana nasema hakuna mwehu wa hivyo! Sio Biden sio Putin
 
Labda hapo umesema! Lakini na Ukraine akipewa tactical Nuclear mchezo utaisha vipi?
Kwanza wakumpa hayupo Maana wanajua Ulaya na USA zitakachokipata, missile za masafa marefu tu wanajishauri kumpa ije kua hizo nuclear? Impossible.
 
🤣🤣🤣🤣🤣naona mnatishana eti dunia inazama acheni uvivu nendeni mfanye kazi mjenge dunia hiyo nuke haiwezi maliza dunia USA yenyewe labda iangushiwe makombora yote anayo miliki Russia na North Korea.
Watu wanalishwaga matango, wanashindwa hata kufikiria katika hali ya kawaida, namna dunia ilivyo.
 
Kama huyo US anaijali sana Dunia then atoe matako yake Pale Ukraine ili ugomvi usiendelee maana huu ugomvi chanzo ni yeye.
Ina maana US ndiye aliyeivamia Ukraine na kumega ardhi yake ?
 
Mkuu ni pande zote, hata Urusi ili iangamie labda makombora yote ya US! Ndio maana nasema hakuna mwehu wa hivyo! Sio Biden sio Putin
ndio hata Russia anajua siku atapiga kombora la kwanza kupiga US nae ataanza sukumiwa labda ajifariji kwa kuipiga Ukraine ili kuwatia NATO jamba ila sio kupiga USA au mshirika yeyote wa NATO
 
Kwanza wakumpa hayupo Maana wanajua Ulaya na USA zitakachokipata, missile za masafa marefu tu wanajishauri kumpa ije kua hizo nuclear? Impossible.
Why unasema impossible? Uje na scenario zote mkuu! Unadhani Putin anasema "impossible" ?
 
Kwanj Marekani imepakana na Japan kiasi kwamba alikuwa na hofu ya kuua watu wake? Russia na Ukraine wamepakana,unaongea scenario mbili tofauti kabisa.
Kumbe hujui USA Japan ninmajirani haha we boya sana
 
ndio hata Russia anajua siku atapiga kombora la kwanza kupiga US nae ataanza sukumiwa labda ajifariji kwa kuipiga Ukraine ili kuwatia NATO jamba ila sio kupiga USA au mshirika yeyote wa NATO
Hebu tuwekee hapa idadi ya makombora ya nuclear iliyonayo NATO vs Russia mkuu.
 
Why unasema impossible? Uje na scenario zote mkuu! Unadhani Putin anasema "impossible" ?
Nikuulize swali,kwa hio inawezekana pia huko sehemu nyingine duniani ambako US anapigana pia Russia ikawapa nuclear bombs hao maadaui wa US ili waweze kuishambulia ardhi ya US?
 
Hebu tuwekee hapa idadi ya makombora ya nuclear iliyonayo NATO vs Russia mkuu.
mkuu tambua nchi nyingi zinajiendesha kupitia propaganda na vitisho kwa maadui zake hakuna nchi itataka siri zake ziwe bayana hasa umiliki wa silaha mkuu vita ndio kipimo hasa.. hata hizo nuke naona ni kama zinatumika kwa vitisho zaidi...
 
Nikuulize swali,kwa hio inawezekana pia huko sehemu nyingine duniani ambako US anapigana pia Russia ikawapa nuclear bombs waweze kuishambulia ardhi ya US?
Hatujui scenario ya real war? Hatujui hata sasa vita hii itachukua direction gani kama ilivyokua Second World War Mkuu?
 
Back
Top Bottom