Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

Kuna watu mnafikiri kombola la nyuklia likipigwa basi tunakufa wote hahaa waafrica wacha tuitwe waafrica
 
Nyama anasukumiziwa Zelensk anaikatikia Biden hawa mashoga kwa wivu.
 
Ngoja tuone...
Sidhani kabisa Putin atatumia Nuclear, sio mpuuzi wala sio mwoga, alikuwa KGB anajua wazi wenzake nao wana nini pia, na Marekani pia ni vigumu kutumia Nuclear kwa vita vya Ukraine. Putin atatumia njia mbadala tu kumaliza mgogoro huu, hautafika Nuclear War, hiyo ndio assessment yangu.
 
Nuclear iliopigwa japani ni ndogo mara 700 ya mabomb ya sahivi. Na bomb la nuclear likipigwa hizo nchi msidhani mtapona, kinachoua ni nuclear fallout, ambapo upepo utabeba particle ambazo ni radioactive hadi huku mnaanza kufa kwa radiation toxicity. Sasa nyie furaieni tu Kwamba wapige tu.
 
Huyo anamwaga uchafu wake hapo Ukraine huku anaogopa au haiamini uchafu anaoumwaga huko🥱
 
Uongo,siku hizi Kuna tactical nuclear inaweza kupiga eneo la radius 30km,Sasa sisi huku tutaathirikaje na nuclear hio?
 
Ili nyukilia imalize dunia yote mpaka yapigwe makombora si chini ya mia moja katika mabara tofauti tofauti

Hapa nazungumzia Yale ambayo ni most haviest kama TSAR BOMBA unafikiri dunia inaisha kirahisikwa kupigana nchi mbili
 
Ili nyukilia imalize dunia yote mpaka yapigwe makombora si chini ya miamoja katika mabara tofauti tofauti

Hapa nazungumzia Yale ambayo ni most haviest unafikiri dunia inaisha kirahisikwa kupigana nchi mbili
America tu ana mabomb 5000+
 
Hakuna jasusi mwenye mzaha,utani,masihara,uwongo..........,........time will tell
 
Labda Joe ndio Dementia inataka kumuondoa,anataka kuondoka na dunia.
Mkuu hata kama una chuki binafsi na Joe, sio yeye aliyealianzisha hili la Nuclear....
Ili nyukilia imalize dunia yote mpaka yapigwe makombora si chini ya miamoja katika mabara tofauti tofauti

Hapa nazungumzia Yale ambayo ni most haviest unafikiri dunia inaisha kirahisikwa kupigana nchi mbi
Likianza halitakua la nchi mbili kuna Washirika kila upande!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…