Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

Wanaona watu ni wajinga sana
Wao wanakubali nani atengeneze nuclear na nani asiwe nayo na hapo hapo wanataka yasitumike

America wanajua fika watakaoanziwa ni wao maana wamezidi kiherehere ingawa wanajua ukweli mataifa mengi washiriki wa Russian wana silaha za maangamizi

Kama namuona Kiduku anavyochekelea
Hii kama ni vita naona Dunia imefika mwisho ila wazungu wanataka kusogeza mbele tuishi hata miaka 1000 mingine ila ndio hivyo tena binadamu tunapanga lakini linakuja tofauti
 
Wee ni bwenga mzee
 

And huwa hawaropokagi hawa aisee
 
Story zote humu khs Ukraine vs Russia hua tunajadili kwa kutumia source zipi?
Kila upande una pick sources zake! Ndio maana zangu zinaweza kuwa kwako ni propaganda za west! Na zako pia nikaziita propaganda! Most of us are biased! Hata tukiwa na source moja tutatoa interpretation tofauti! Wote tunaweza kumsikia Biden/ Putin, kila mtu akasema lake! Kunasahau kwamba hata anachosema Putin au Biden kimeishachujwa for public consumption!
 
Basi tuendelee kujadili Propaganda tu,maana hakuna namna tena.
 
Hapo umezungumza!
Mkuu sisi wote depending uko kwenye side ipi information ni zile zile! Wote tunajua propaganda! Iwe toka Marekani au Russia! Uzuri mmoja wa US hata TV zao, huwa tunajua nani anataka Vita nani anapinga! Vita hii hii Fox anasema chake, CNN anasema chake! FOX mara nyingi analeta military analysts wanaotaka Vita! Lakini vyombe vingine sio! Vyombo vya West vina interest tofauti vyenyewe!
Wote tunajua vyombo vya habari vya Urusi ni lazima viwe aligned na serikali! Serikali inataka nini wasikie!
Hivyo mkuu hizi ndio sources zetu humu ndani!
 
Balaa tupu marekani kamwongezea nguvu Ukraine sasa putin anashindwa, anaona bora wote wakose
Mkuu, hata kama mimi ndio ningekuwa Rais yaaani nchi zaidi ya 30 zinapigana na mimi na nina silaha za maana, kwanini nisiilinde nchi yangu. Nukes are weapons of last resort.
 

Sasa ukimhoji Bolton unataka nini.
Yeye toka huko nyuma ni mtu wa Vita tu! Hakutaka hata uko nyuma Trump akutane na kiduku! Kuna watu kama hawa Marekani! Lakini sio wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…