Joe Davie: 2003 Yesu Kristo alinitokea yeye mwenyewe kabisa

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Kupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo.

Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
 
View attachment 2208811

Hivi watu uwa wanajuaje kuwa wametokewa na Yesu maana sura yake haipo wazi
 
Kupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo.
View attachment 2208811
Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
Bange mbaya sana. Yesu Yupo duniani muda wote. Kasome Biblia yako
 
Kuna mlokole pia mtaani hapa kaja anasema Yesu amemtokea huko kwao morogoro eti aje dar kueneza injili, cha ajabu amekuwa mzigo kwa wenyeji.
kazi hafanyi kutwa kushinda anapayuka eti anaomba.
vijana wanamsubiri aanze kudanga wajilie vyao, maana anapenda sana kuomba hela kwa gia ya kusema eti "mungu atakuzidishia"
acha alete mazoea
 
Wanasubiria aingie kingi wajisevie upako kwa kijiko cha chini
 
Kweli wagalatia hawana akili utaskia wanamuita nabii mtumishi wa bwana na watafunga safari wakapate upako wa yesu
 
Kupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo.

View attachment 2208811
Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
Huyo eagle hapo alipotikewa na yesu anamanisha nn?
 
Back
Top Bottom