Joe Davie: 2003 Yesu Kristo alinitokea yeye mwenyewe kabisa

Joe Davie: 2003 Yesu Kristo alinitokea yeye mwenyewe kabisa

Kupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo.

View attachment 2208811
Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
Mmmh kwavle ni mambo ya imani sawa

Aendelee kuupiga mwingi.
 
Ukimfatilia sana huyu jamaa hasa ukisikiliza redio yake utacheka sana na utagundua watu wengi ni wajinga wanapokuwa na imani,kwenye mazabau yake huwa inaongelewa pesa zaidi
 
Kupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo.

View attachment 2208811
Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
du!!!!!!,,,,ina maana alipewa funguo kufungua wa2,how!!!ina maana sisi ni VITASA????ahahahaaa!!!! au anachomeka funguo kwa mpalange????
 
Back
Top Bottom