Joe Davie: 2003 Yesu Kristo alinitokea yeye mwenyewe kabisa

Joe Davie: 2003 Yesu Kristo alinitokea yeye mwenyewe kabisa

Kweli wagalatia hawana akili utaskia wanamuita nabii mtumishi wa bwana na watafunga safari wakapate upako wa yesu
Ni nabii mkuu jamaa ana pesa ya kufa mtu, kashawapiga siku nyingi.

Yule mwimbaji injili Faustini Munishi kapewa gari verosa na huyuhuyu Nabii Mkuu.😄😄
 
Kuna mlokole pia mtaani hapa kaja anasema Yesu amemtokea huko kwao morogoro eti aje dar kueneza injili, cha ajabu amekuwa mzigo kwa wenyeji.
kazi hafanyi kutwa kushinda anapayuka eti anaomba.
vijana wanamsubiri aanze kudanga wajilie vyao, maana anapenda sana kuomba hela kwa gia ya kusema eti "mungu atakuzidishia"
acha alete mazoea
Yaani Yesu akutokee akupe kazi kisha asikupe posho ya kukusaidia kwenye hiyo kazi?
Kama watumishi tu hawaendi sehemu bila kulipwa, vipi Yesu (Mungu) anakuwa nyuma ya kanuni za kibinadamu?
 
Atakua yule yesu aliyeonekana mitaa ya Nairobi 👇

Manabii wa michongo wakijinasibisha wamemuona yesu wa michongo.
 
mkuu tafadhari kapicha basi ka huyo yesu si ulikuwa na kale ka smart mkuu tupe kapicha tuone yesu anavyofanana
 
Kuna mlokole pia mtaani hapa kaja anasema Yesu amemtokea huko kwao morogoro eti aje dar kueneza injili, cha ajabu amekuwa mzigo kwa wenyeji.
kazi hafanyi kutwa kushinda anapayuka eti anaomba.
vijana wanamsubiri aanze kudanga wajilie vyao, maana anapenda sana kuomba hela kwa gia ya kusema eti "mungu atakuzidishia"
acha alete mazoea
Muulize yeye kajuaje kuwa aliyemtokea ni yesu? Maana hakuna anayejua sura ya Yesu
 
Back
Top Bottom