Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hivi watu uwa wanajuaje kuwa wametokewa na Yesu maana sura yake haipo waziKupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo.
View attachment 2208811
Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
Bange mbaya sana. Yesu Yupo duniani muda wote. Kasome Biblia yakoKupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo.
View attachment 2208811
Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
Body language ya Millard Ayo inaonyesha kabisa kutokusadikiKupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo.
View attachment 2208811
Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
Wanasubiria aingie kingi wajisevie upako kwa kijiko cha chiniKuna mlokole pia mtaani hapa kaja anasema Yesu amemtokea huko kwao morogoro eti aje dar kueneza injili, cha ajabu amekuwa mzigo kwa wenyeji.
kazi hafanyi kutwa kushinda anapayuka eti anaomba.
vijana wanamsubiri aanze kudanga wajilie vyao, maana anapenda sana kuomba hela kwa gia ya kusema eti "mungu atakuzidishia"
acha alete mazoea
Hivi watu uwa wanajuaje kuwa wametokewa na Yesu maana sura yake haipo wazi
Imani inanfurahsha maana kila mwenye imani hii anamwona mwingne hamnazoKweli wagalatia hawana akili
Ha haaa. Huyu atakua Malkia ZumaridiDanganya wajinga was kwenu huko
Huyo eagle hapo alipotikewa na yesu anamanisha nn?Kupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo.
View attachment 2208811
Nabii na Mtume wa Mungu Joe Davie amethibitisha mwaka 2003 wakati anaanza huduma Yesu kristo alinitokea na kumkabidhi funguo za kufungua binadamu wenye matatizo mbalimbali.
Akamfungue mama yakeKupitia mahojiano aliyafanya na Millard ayo.