Joe Davie: 2003 Yesu Kristo alinitokea yeye mwenyewe kabisa

Kweli wagalatia hawana akili utaskia wanamuita nabii mtumishi wa bwana na watafunga safari wakapate upako wa yesu
Ni nabii mkuu jamaa ana pesa ya kufa mtu, kashawapiga siku nyingi.

Yule mwimbaji injili Faustini Munishi kapewa gari verosa na huyuhuyu Nabii Mkuu.😄😄
 
Yaani Yesu akutokee akupe kazi kisha asikupe posho ya kukusaidia kwenye hiyo kazi?
Kama watumishi tu hawaendi sehemu bila kulipwa, vipi Yesu (Mungu) anakuwa nyuma ya kanuni za kibinadamu?
 
Atakua yule yesu aliyeonekana mitaa ya Nairobi 👇

Your browser is not able to display this video.
 
Manabii wa michongo wakijinasibisha wamemuona yesu wa michongo.
 
mkuu tafadhari kapicha basi ka huyo yesu si ulikuwa na kale ka smart mkuu tupe kapicha tuone yesu anavyofanana
 
Muulize yeye kajuaje kuwa aliyemtokea ni yesu? Maana hakuna anayejua sura ya Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…