Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Ufalme wa MUNGU umo moyoni mwenu....Mbinguni mbali sana
Mkuu Bwana ndiye mchungaji wanguUfalme wa MUNGU umo moyoni mwenu....
Kikubwa si wamemsifu MunguShetani anazidi.... kuwavuta watu wa MUNGU kwendana na dunia.... kiasi kwamba msitari ni mwembamba sana... ya kuwatofautisha kondoo na mbwa mwitu!
ok.🐒mashuhuri wa nyimbo za Injili nchini, Joel Lwaga, amewatolea uvivu mashabiki na baadhi ya viongozi wa dini wanaomkosoa kwa kubadilisha mtindo wa muziki wake ikilinganishwa na alivyokuwa akiimba miaka ya nyuma.
Kupitia video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Joel Lwaga ameeleza kuwa dunia ya sasa inafuata "trend" na watu wanatafuta vitu vipya, hivyo asipobadilika na kwenda na wakati atajikuta akisahaulika kama ilivyotokea kwa waimbaji wengine wa zamani ambao watu walidai kuwapenda lakini kwa sasa hawawasikilizi wala kuwaalika.
Amewataka wakosoaji hao kuacha ubinafsi na kuacha kumlazimisha abaki na mtindo wa mwaka 2018 au 2019, akisisitiza kuwa hakuna mwanadamu aliyemtuma kufanya kazi hiyo bali aliitwa na Mungu kumtumikia.
View attachment 3678476
Hakika.... watu wanarundana makanisani kuhubiriwa mambo ya mafanikio tu bila kujali maisha yao ya kiroho.....Mkuu Bwana ndiye mchungaji wangu
Biblia ilishasema ajionaye amesimama aangalie asianguke
Hapana... mkuu! MUNGU niwa utaratibu......Kikubwa si wamemsifu Mungu
End justifies the means
Jeremy Bentham
Hatari sana mkuu... watu wamegeuza kuwa biashara...Kumbe anaimba kwa trend na si kwa uchaji wa kiroho
Ndo tulipofikiaHakika.... watu wanarundana makanisani kuhubiriwa mambo ya mafanikio tu bila kujali maisha yao ya kiroho.....
Unalifahamu lile neno la kabla ya siku ya mwisho neno kila sikio litakua limesikia neno la Mungu???Hapana... mkuu! MUNGU niwa utaratibu......
Bora uwe moto au baridi kuliko kuwa vuguvugu.... leo uvuguvugu ndio watu wanaupendaNdo tulipofikia
Ndo maana nimesema mbinguni mbali
Lengo ni kufika mbinguni mkuu au kuna tofauti na hilo??Bora uwe moto au baridi kuliko kuwa vuguvugu.... leo uvuguvugu ndio watu wanaupenda