Joel Lwaga: Acheni Ubinafsi, Msinilazimishe Kubebelea Mtindo Wa Zamani, Nimeitwa Na Mungu

Kikubwa hapo kabla ya kukomaa na joel Lwaga na kuimba na mondi ni kujiuliza Mimi je nitaingia au la
Hakika.... Itakuwa huzuni sana kama utapotea na unajua ukweli.... Maana kila mtu atabeba flush lake....
 
Hatari sana mkuu... watu wamegeuza kuwa biashara...
Kwani pana ushirika gani kati ya nuru na giza, mafuta na maji?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Sema ukweli bro, siku hz, nikutafuta fweza tu, Hao ma fake pastors, kapola, Musa, sio kwamba wanawapeeenda Sana watu au wanaumizwa na Mambo ya kiroho ya watu, cha kwanza kwao ni mpunga tu, waendeshe ma Prado, ma ZX, ma range, maswala ya kuombewa eti usilogwe na wachawi, utajua wewe!
Wachina wapo kibao bongo wanstumia bongo kutengeneza pesa,mbona wao ha you mapepo hayawapati!
Huwezi kukuta mtoto wa tajiri l, pastor,
Penye ufukara na umaskini mwingi, ndio kuna vijikanisa viiiingi!
Kila motivational speaker, ana kanisa lake!
Ma kanisa mention, wahubili wengi, na umaskini maisha magumu yapo pale pale,
 
Wabamize waaache kukufatilia .......... Baaaaabaaaa umenipa..... Ujasiri baaaaabaaaa umenipa.....
 
Leo ndo nimejipa majibu ya maswali yayalionitesa kwa mda mrefu.Mungu tusaidie SISI waja wako
 
Aliekaribu amkumbushe kwamba tumeonywa tusiifutishe namna ya Ulimwengu huu, Rumi 12:2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
 
Stupid boy acha kutufokea.
 
Amewataka wakosoaji hao kuacha ubinafsi na kuacha kumlazimisha abaki na mtindo wa mwaka 2018 au 2019, akisisitiza kuwa hakuna mwanadamu aliyemtuma kufanya kazi hiyo bali aliitwa na Mungu kumtumikia.
Wamwaache afanye hitaji la moyo wake hawajamtuma hio kazi ametumwa na Mungu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…