Tetesi: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM

The return and rise of Namilison Kisandu ,
 
Ugali umeharibu sana akili za watanzania na kubaki watu wa hovyo sana.
 
Ccm wakifanya hivi watakuwa wamefanya jambo kubwa tangu tupate Uhuru maana Joel Nanauka ndo GenZ mwenye akili kuzidi vijana wote
Nanauka siyo GEN Z... MTU ALIYEHITIMU KIDATO Cha nne mwaka 2003..ndo awe gen zzzzzzzzzzzz?
 
Namjua komredi Nanauka kwani ni kijana mwenzangu....

Namfahamu katika harakati...

Ila....

Kusema kuwa arithi nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM [emoji44][emoji44][emoji44]

Acheni maskhara ninyi watu....

Acheni utoto kabisa...

CCM tumejaa hazina ya vijana wenye vipawa vikubwa mno na bado si mimi na wala wengi wa "wanaoonekana na kujipitisha sana "wanastahili hiyo nafasi ya MAKAMU MWENYEKITI CCM...

Labda uDC na ukatibu tawala....

Kuweni "serious" na kujitenga na utoto [emoji1787][emoji1787]

#Nchi Kwanza[emoji7]
 
Udaktari? Si kila PhD inafaa kwa jambo fulani, joel kawa mbombezi wa siasa za ccm tangu lini?
 
kumrithi bila kuomba na kujaza fomu 😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…