Tetesi: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM

Tetesi: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM

I. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.

II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi, kuzinfatia uwakilishi wa viongozi wakuu wa Chama na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.

NATASI ZA JUU Kwenye Chama na walipotokea.

Mwenyekiti - Unguja, (Dr.),
Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) - Unguja, Mkuranga.;(Dr.),
Makamu Mwenyekiti - Bara, (pendekezo) - Mtwara, (Dr.)
Katibu Mkuu - Ruvuma, (Dr.)
Katibu Mwenezi - Morogoro,
Mwaka Hazina (pendekezo) - Iringa - Mchg.
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
The return and rise of Namilison Kisandu ,
 
Ugali umeharibu sana akili za watanzania na kubaki watu wa hovyo sana.
 
Ccm wakifanya hivi watakuwa wamefanya jambo kubwa tangu tupate Uhuru maana Joel Nanauka ndo GenZ mwenye akili kuzidi vijana wote
Nanauka siyo GEN Z... MTU ALIYEHITIMU KIDATO Cha nne mwaka 2003..ndo awe gen zzzzzzzzzzzz?
 
Namjua komredi Nanauka kwani ni kijana mwenzangu....

Namfahamu katika harakati...

Ila....

Kusema kuwa arithi nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM [emoji44][emoji44][emoji44]

Acheni maskhara ninyi watu....

Acheni utoto kabisa...

CCM tumejaa hazina ya vijana wenye vipawa vikubwa mno na bado si mimi na wala wengi wa "wanaoonekana na kujipitisha sana "wanastahili hiyo nafasi ya MAKAMU MWENYEKITI CCM...

Labda uDC na ukatibu tawala....

Kuweni "serious" na kujitenga na utoto [emoji1787][emoji1787]

#Nchi Kwanza[emoji7]
 
Udaktari? Si kila PhD inafaa kwa jambo fulani, joel kawa mbombezi wa siasa za ccm tangu lini?
 
I. Tanzania One (TO), mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka (PhD), anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara).

II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi, kuzingatia uwakilishi wa viongozi wakuu wa Chama na speeches za kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.

NAFASI ZA JUU Kwenye Chama na walipotokea.

Mwenyekiti - Unguja, (Dr.),
Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) - Unguja, Mkuranga.;(Dr.),
Makamu Mwenyekiti - Bara, (pendekezo) - Mtwara, (Dr.)
Katibu Mkuu - Ruvuma, (Dr.)
Katibu Mwenezi - Morogoro, CPA.
Mweka Hazina (pendekezo) - Iringa - Mchg. Dr. Msigwa
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
kumrithi bila kuomba na kujaza fomu 😏
 
Back
Top Bottom