Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Jun 28, 2025 #1 Joffrey Mwankenja mkazi wa Chunya Mkoani Mbeya amejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya leo Juni 28 kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mwankenja amesema ametumia haki yake ya kikatiba ili kuomba ridhaa kwenye vikao vya maamuzi lengo ni kuwakilisha wananchi wa Jimbo la Lupa.
Joffrey Mwankenja mkazi wa Chunya Mkoani Mbeya amejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya leo Juni 28 kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Lupa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mwankenja amesema ametumia haki yake ya kikatiba ili kuomba ridhaa kwenye vikao vya maamuzi lengo ni kuwakilisha wananchi wa Jimbo la Lupa.
nzaghamba JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,234 Reaction score 1,482 Jun 28, 2025 #2 nileteeni Mtm...