BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Barca anafia mlangon kwake
Vyovyote vile utakavyoita il usijali sana mkuu we jua tu liverpool watafundishwa kabumbu, na nyota wa mchezo bila shaka atakuwa kipa wa liverpoolMsaada kuhusu uwanja mkuu, hivi ni NOU CAMP au CAMP NOU?
Safi sana ChifuKwanini unasema kuwa mpira wanaocheza ajax ndo huohuo wanaocheza barcelona??..mbona hamna ufanano wowote zaidi ya sisi kukariri maisha??
Tumeona Jana aina ya soka ya england inavyoshindwa kutamba mbele ya style ya mchezo wa ajax ambao ndio hasa wanacheza aina ya Mpira wa Barcelona
Kwa walivyosumbuka Spurs ndivyo ndugu zao watakavyo sumbuka Leo
Na hapo ndiyo tunaendelea kuthibitisha kuwa EPL sio ligi bora duniani
Tuanze tu kuiweka vichwani fainali ya Mei 19 kua ni Ajax vs Barcelona.
Ninachokiona Liver lazima apate goal(s) ugenini na akifungwa tofauti haitozidi goal moja.
Barca anapokutana na team ambayo hukabia juu hupata shida sana kwakuwa wao wanajenga mashambulizi kuanzia kwa goalkeeper. Kwangu mie Barca atatolewa
I agree with you..Ninachokiona Liver lazima apate goal(s) ugenini na akifungwa tofauti haitozidi goal moja.
Barca anapokutana na team ambayo hukabia juu hupata shida sana kwakuwa wao wanajenga mashambulizi kuanzia kwa goalkeeper. Kwangu mie Barca atatolewa
Barca anachukua ndoo,Ajax mwepesi sana kwa Mesi
Hizi akili wamebarikiwa wachache sana duniani[emoji4]
Yap!Barca kashapita nusu fainali, hata Ajax bado hajapita kwenda fainali kwa wale tusio na mahaba uchwara ktk soka
Ukijifanya kubana sana anaondoka na nchi na kick kaliKama kawaida yake anaondoka na kijiji + Goals 😀
Ukijifanya kubana sana anaondoka na nchi na kick kali
liver ikishinda navaa nepi kisha nadunda sehemu yoyote dar.Tumeona Jana aina ya soka ya england inavyoshindwa kutamba mbele ya style ya mchezo wa ajax ambao ndio hasa wanacheza aina ya Mpira wa Barcelona.
Kwa walivyosumbuka Spurs ndivyo ndugu zao watakavyo sumbuka Leo
Na hapo ndiyo tunaendelea kuthibitisha kuwa EPL sio ligi bora duniani
Tuanze tu kuiweka vichwani fainali ya Mei 19 kuwa ni Ajax vs Barcelona.
napenda mabadiliko ajax achukue.Barca anachukua ndoo,Ajax mwepesi sana kwa Mesi
Whatever ata ukiiita kwa mchina ya cataloniaMsaada kuhusu uwanja mkuu, hivi ni NOU CAMP au CAMP NOU?