Jogoo anachinjwa leo asubuhi tu pale Nou Camp

Jogoo anachinjwa leo asubuhi tu pale Nou Camp

Msaada kuhusu uwanja mkuu, hivi ni NOU CAMP au CAMP NOU?
Vyovyote vile utakavyoita il usijali sana mkuu we jua tu liverpool watafundishwa kabumbu, na nyota wa mchezo bila shaka atakuwa kipa wa liverpool

Tumewaelekeza akina suarez wakifunga wasikimbilie kuchukua mpira kwenye nyavu ili tuone maumivu ya kipa akiokota mpira kule nyuma
 
Ninachokiona Liver lazima apate goal(s) ugenini na akifungwa tofauti haitozidi goal moja.
Barca anapokutana na team ambayo hukabia juu hupata shida sana kwakuwa wao wanajenga mashambulizi kuanzia kwa goalkeeper. Kwangu mie Barca atatolewa
 
Tumeona Jana aina ya soka ya england inavyoshindwa kutamba mbele ya style ya mchezo wa ajax ambao ndio hasa wanacheza aina ya Mpira wa Barcelona
Kwa walivyosumbuka Spurs ndivyo ndugu zao watakavyo sumbuka Leo
Na hapo ndiyo tunaendelea kuthibitisha kuwa EPL sio ligi bora duniani
Tuanze tu kuiweka vichwani fainali ya Mei 19 kua ni Ajax vs Barcelona.
1085370
 
Hizi akili wamebarikiwa wachache sana duniani[emoji4]
Ninachokiona Liver lazima apate goal(s) ugenini na akifungwa tofauti haitozidi goal moja.
Barca anapokutana na team ambayo hukabia juu hupata shida sana kwakuwa wao wanajenga mashambulizi kuanzia kwa goalkeeper. Kwangu mie Barca atatolewa
 
Lets be open naona watu wanaleta mahaba hapa. Liverpool kwa mpira wanaocheza Barcelona watatoa ulimi nje mapema kabisa,liver wana mpira wakasi sana beki line imala kabisa forward ya hatari kabisa. Ukiniuliza mm nitakwambia baka kaisha toka. Fainali naiona Ajax na liver kule Madrid.
 
Chukua hyo
 
Attachments

  • IMG-20190501-WA0001.jpg
    IMG-20190501-WA0001.jpg
    26.7 KB · Views: 16
Tumeona Jana aina ya soka ya england inavyoshindwa kutamba mbele ya style ya mchezo wa ajax ambao ndio hasa wanacheza aina ya Mpira wa Barcelona.

Kwa walivyosumbuka Spurs ndivyo ndugu zao watakavyo sumbuka Leo

Na hapo ndiyo tunaendelea kuthibitisha kuwa EPL sio ligi bora duniani

Tuanze tu kuiweka vichwani fainali ya Mei 19 kuwa ni Ajax vs Barcelona.
liver ikishinda navaa nepi kisha nadunda sehemu yoyote dar.
 
Back
Top Bottom