Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Nigawe ili iweje? nikifunga leo nimkesha kwangu ndani naamsha watoto napiga mziki tunacheza mpaka kunakucha.Nikajua utagawa K mtaa mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nigawe ili iweje? nikifunga leo nimkesha kwangu ndani naamsha watoto napiga mziki tunacheza mpaka kunakucha.Nikajua utagawa K mtaa mzima
Kwa kweli mimi nipo kama jamaa uliyemkomentiHizi akili wamebarikiwa wachache sana duniani[emoji4]
Liver 2 Barca 1Barca 2-0
Messi leo lazima avunje mtu kiuno...
Mfumo wanaocheza barca inasemekana ulitokea ajax miaka ya 90 sKwanini unasema kuwa mpira wanaocheza ajax ndo huohuo wanaocheza barcelona??..mbona hamna ufanano wowote zaidi ya sisi kukariri maisha??
jogoo yake supu tu lazima kisu kihusike kumrestisha in hellAtatoka jogoo hapa kweli?View attachment 1085451
liver ikishinda navaa nepi kisha nadunda sehemu yoyote dar.
Ajax mpira wao unaendana na wa Manchester United
Pia hawajui kati yao hao ni yupi aliyepitia hatua ngumu kwa kukutana na vigogo hadi kufikia nusu fainaliNimegundua watu wengi mpira awajui, hv kwa mpira anaocheza liver anaanzaje kufungwa na barcelona kwa mfano?
Barca hatuna huo uvuta bange sisi tutafunga ila tutawazidi ma goalNachoomba tu isifanyike hujuma kama ile ya mwaka jana ambapo R. Madrid waliingia kwa lengo la kumuumiza Salah tu ili waifunge Liverpool vzr 7bu 35% ya ushindi wa liver ulitokana na Salah
Tunza tu akiba ya maneno Chifu maana siku zote mpira huwa hauna mwenyewe/unadunda[emoji87]Barca hatuna huo uvuta bange sisi tutafunga ila tutawazidi ma goal
Sasa ww kwa akili yko unaona mpira wa Totenham unafanana na wa Liverpool? Vile vile Totenham alikuwa anamiss key players kama Kane na Son, huwezi fananisha mpira kwa style hyo kila game iko tofauti na inajitegemea!
EpL Sio ligue bora duniani kwa vigezo vp? Ligue bora ni ipi ss kwa mtizamo wako? La liga au? Mbna hukusema la Liga nayo sio bora pale Madrid walivyobamizwa 4 na hao hao madogo wa Ajax pale Bernabeu?
Msimu huu ni Ligi gani imeingiza timu nyingi robo finali CL?
Ndio hivyo sasa utafanyaje?na ndio ukweli wenyewekiukweli sipendi mtu Awe anaongelea vibaya ligi ya ENGLAND yaani sipendi
Bado kwa sehemu kubwa naamini Ajax ana kibarua kigumu mno kwake, Tot a a nafasi ya kufuzu.Barca kashapita nusu fainali, hata Ajax bado hajapita kwenda fainali kwa wale tusio na mahaba uchwara ktk soka
HahahahahahahahaNinachokiona Liver lazima apate goal(s) ugenini na akifungwa tofauti haitozidi goal moja.
Barca anapokutana na team ambayo hukabia juu hupata shida sana kwakuwa wao wanajenga mashambulizi kuanzia kwa goalkeeper. Kwangu mie Barca atatolewa