enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Hiyo fainali ya Mei 19 uliandaa wewe na familia yako???? Mtu huna uhakika na unachokiandika halafu unapost kwa uhakika!!! Full ujinga na ushamba!!!Tumeona Jana aina ya soka ya england inavyoshindwa kutamba mbele ya style ya mchezo wa ajax ambao ndio hasa wanacheza aina ya Mpira wa Barcelona.
Kwa walivyosumbuka Spurs ndivyo ndugu zao watakavyo sumbuka Leo
Na hapo ndiyo tunaendelea kuthibitisha kuwa EPL sio ligi bora duniani
Tuanze tu kuiweka vichwani fainali ya Mei 19 kuwa ni Ajax vs Barcelona.