Jogoo anachinjwa leo asubuhi tu pale Nou Camp

Kwanini unasema kuwa mpira wanaocheza ajax ndo huohuo wanaocheza barcelona??..mbona hamna ufanano wowote zaidi ya sisi kukariri maisha??
Ajax mpira wao unaendana na wa Manchester United
 
Ninachokiona Liver lazima apate goal(s) ugenini na akifungwa tofauti haitozidi goal moja.
Barca anapokutana na team ambayo hukabia juu hupata shida sana kwakuwa wao wanajenga mashambulizi kuanzia kwa goalkeeper. Kwangu mie Barca atatolewa
Unafikir ilo tatizo hawajalipatia ufumbuzi?
 
Yap!
Totenham watafanya yao ugenini na kuacha msiba mzito.
Man city anajua ninachosema.
Ata aingie Son na Kane kwa pamoja hawana uwezo wa kubadili matokeo kule Amsterdam kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…