Jogoo anachinjwa leo asubuhi tu pale Nou Camp

Kwanini unasema kuwa mpira wanaocheza ajax ndo huohuo wanaocheza barcelona??..mbona hamna ufanano wowote zaidi ya sisi kukariri maisha??
Mfumo wanaocheza barca inasemekana ulitokea ajax miaka ya 90 s
 
Nimegundua watu wengi mpira awajui, hv kwa mpira anaocheza liver anaanzaje kufungwa na barcelona kwa mfano?
Pia hawajui kati yao hao ni yupi aliyepitia hatua ngumu kwa kukutana na vigogo hadi kufikia nusu fainali
 
Nachoomba tu isifanyike hujuma kama ile ya mwaka jana ambapo R. Madrid waliingia kwa lengo la kumuumiza Salah tu ili waifunge Liverpool vzr 7bu 35% ya ushindi wa liver ulitokana na Salah
 
Kwan liverpool akikutana na spurs huwa anafungwa nani?[emoji848]
Sasa ww kwa akili yko unaona mpira wa Totenham unafanana na wa Liverpool? Vile vile Totenham alikuwa anamiss key players kama Kane na Son, huwezi fananisha mpira kwa style hyo kila game iko tofauti na inajitegemea!
 
Baada ya misimu mingapi? Uefa england mara ya mwisho imekwenda lini?
 
Barca kashapita nusu fainali, hata Ajax bado hajapita kwenda fainali kwa wale tusio na mahaba uchwara ktk soka
Bado kwa sehemu kubwa naamini Ajax ana kibarua kigumu mno kwake, Tot a a nafasi ya kufuzu.

Sioni Liverpool kama ataweza kuondoka Camp Nou chini ya goli 3 endapo Messi akacheza 90 minutes.
 
Ninachokiona Liver lazima apate goal(s) ugenini na akifungwa tofauti haitozidi goal moja.
Barca anapokutana na team ambayo hukabia juu hupata shida sana kwakuwa wao wanajenga mashambulizi kuanzia kwa goalkeeper. Kwangu mie Barca atatolewa
Hahahahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…