Hiyo fainali ya Mei 19 uliandaa wewe na familia yako???? Mtu huna uhakika na unachokiandika halafu unapost kwa uhakika!!! Full ujinga na ushamba!!!Tumeona Jana aina ya soka ya england inavyoshindwa kutamba mbele ya style ya mchezo wa ajax ambao ndio hasa wanacheza aina ya Mpira wa Barcelona.
Kwa walivyosumbuka Spurs ndivyo ndugu zao watakavyo sumbuka Leo
Na hapo ndiyo tunaendelea kuthibitisha kuwa EPL sio ligi bora duniani
Tuanze tu kuiweka vichwani fainali ya Mei 19 kuwa ni Ajax vs Barcelona.
Time will tellLets be open naona watu wanaleta mahaba hapa. Liverpool kwa mpira wanaocheza Barcelona watatoa ulimi nje mapema kabisa,liver wana mpira wakasi sana beki line imala kabisa forward ya hatari kabisa. Ukiniuliza mm nitakwambia baka kaisha toka. Fainali naiona Ajax na liver kule Madrid.
Ok!!!Ata aingie Son na Kane kwa pamoja hawana uwezo wa kubadili matokeo kule Amsterdam kamwe.
I see Virgil Van Dujk putting Messi in his place tonight.Best Striker vs Best Defender,ngoja tusubiri dakika 90Messi at his best I don’t see Liverpool defender stopping him from scoring and assisting
Ila umeona beki ya kumzuia Messi?Samahani lakni, Liverpool atachukua ndoo, sioni beki ya kumzuia Mane mimi....
Camp Nou ni Kihispaniola.Vyovyote tu kutamka ukianzia kushoto kwenda kulia au ukianzia kulia kwenda kushoto ni sawa
Wewe mhaya acha zako kwa mpira gani Barcelona amfunge liver kwanza anaanzia wapi na kivipi labda?
Nyie mnajichanganya
Hakuna camp nou
Hahaha hakuna Nou campNawewe pia unajichanganya[emoji115]
Messi hajawahi kosea pale camp nouHiyo fainali ya Mei 19 uliandaa wewe na familia yako???? Mtu huna uhakika na unachokiandika halafu unapost kwa uhakika!!! Full ujinga na ushamba!!!
Bado kwa sehemu kubwa naamini Ajax ana kibarua kigumu mno kwake, Tot a a nafasi ya kufuzu.
Sioni Liverpool kama ataweza kuondoka Camp Nou chini ya goli 3 endapo Messi akacheza 90 minutes.
Kama unazungumzia UEFA last time kubeba ndoo ilikuwa 2005 tulipata come back ya hatari zidi ya Ac milan mkuu.Mara ya mwisho liver-nyanya kuchukuwa ubungwa ilikuwa mwaka gani?
Chukua dawa za kupunguza maumivu ili muda wa mechi uwe sawa. Tunampiga barca nje ndani.Baada ya final ya liverpool na madrid
Niliidharau sana liverpool na kuwaona hawana bahat wanapokuwa spain
So leo haponi kwa namna yeyote
Either way..Ndio maana haiitwi pantherblack.....ni blackpanther.....pale ni CAMP NOU....sio Nou Camp!!
Kama unazungumzia UEFA last time kubeba ndoo ilikuwa 2005 tulipata come back ya hatari zidi ya Ac milan mkuu.