Tutarudi hapa after 90 minutes.Messi lazima awanyooshe hao vizee..
BARCA 2-0
Atawika akiwa anajinyeaJogoo atawika Leo nou Camp
Hao ni wadudu tu kama walivyo panziMfalme wa egypt mwenye manywele na mwafrika mwenzake pamoja na mbrasil watakinukisha pale mbele.
Wafudu wamecheza fainali mwaka jana, na watacheza fainali mwaka huuHao ni wadudu tu kama walivyo panzi
Akiwika utasemaje mkuuAtawika akiwa anajinyea
Ligi ya EPL ni dhaifu tunasisitiza na tutazidi kulitumia neno hili...
Messi at his best I don’t see Liverpool defender stopping him from scoring and assisting
Hajawahikosea kimahaba lkn aliwahikosea hadi Refa aliyembeba alitolewa kabisa hadhi ya kuchezesha UEFA alipotoa maamuzi feki dhidi ya PSG kwa kushinda 6-1 ikiwa ugenini alishafungwa 4-0Messi hajawahi kosea pale camp nouView attachment 1085623
Imani ni bora kulilko diniBado mimi ninaamini liver anatinga fainali na tena baka akizubaa anapigwa nje ndani....
dunia bwana eti SON baada ya kuumia mechi man city Anaumia mechi ya AJAX daa
cityzen chairman am here
Baka huyo huyo alipigwa nusu fainali na man u 2008, Baca bora kabisa ambayo haijawah kutokea na wala haitatokea ilipigwa na inter nusu fainal 2010...mbna unataka kutuaminisha hewaNdugu zangu habari za jioni naomba kuwasiliana Kama ifuatavyo Kwanza mm n shabiki wa arsanal kwa epl na kwa ligu dunian Basi n real Madrid. Naomba ieleweke na iwe Kama inavyoeleweka kuwa tmu kubwa za Spain nkimaanisha Barca,real Madrid,na atletical m,hzo tmu zikishafikaga nusu fainal Moja wapo uje lazma iingie fainal EPL n ligi Bora dunian lakn barca, Madrid Ni Bora zaidi kuliko tmu zote za England haswa kwenye swala la uefa hzo tmu hzifai zikishafka semi final mkitaka mzitoe Basi jitahdin huku chini kabsaa kabla hazijafka hko juu. Nasema mwenge hairuki Kijiji na uefa inawenyewe na wenyewe n Spain. Liver anakufa nje ndani na ajax anaenda kufa fainal. Nimemaliza tukutane leo camp nou.