interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Baka huyo huyo alipigwa nusu fainali na man u 2008, Baca bora kabisa ambayo haijawah kutokea na wala haitatokea ilipigwa na inter nusu fainal 2010...mbna unataka kutuaminisha hewa
Baka huyo huyo alipigwa nusu fainali na man u 2008, Baca bora kabisa ambayo haijawah kutokea na wala haitatokea ilipigwa na inter nusu fainal 2010...mbna unataka kutuaminisha hewa
SASA NATAKA NIONE MM NA WW NANI ANAJUA TIMU VZURI NA NAKUAMBIA ENDELEA KUSUBIRI LIVER IFUNGE BARCA BADO DAKIKA CHACHE TUKITANE CAMP NOU. MZEE MM SIONGELEI USHABIKI NAONGELEA UHALISIA TMU PEKEE UINGEREZA INAYOISUMBUAGA BARCA N CHELSEA NA KIDOGO ARSENAL. NAANGALIA FORMATION SIANGALII UKUBWA WA TMU MIMI.Baka huyo huyo alipigwa nusu fainali na man u 2008, Baca bora kabisa ambayo haijawah kutokea na wala haitatokea ilipigwa na inter nusu fainal 2010...mbna unataka kutuaminisha hewa
Niwaambie tu kitu liver ukishamshika firmino umemaliza tmu nzima mane na Salah hawana kazi Tena.Kikosi kimetoka.
Leo Gini anasimama sehemu ya Firmino.
Alivyoumizwa Salah na Ramos ukweli ulionekana.Niwaambie tu kitu liver ukishamshika firmino umemaliza tmu nzima mane na Salah hawana kazi Tena.
Sawa mm Nina mahaba na Barca lakn nataka nawakumbushe na kuwaambia tmu za hispania ni Bora na zinaviwango vikubwa kuliko za uingereza japo kuwa uingereza ndo ligi Bora kwa sababu zinaupinzan Sana. Mkumbuke misimu miwili ya Hyo kocha wa barca ucl na laliga kafungwa mechi 3 tu. Naomba tukutane saa 10:45Nakazia Barca huyo huyo alitolewa pale kwake Nou Camp 2012 na vidume Chelsea wakiwa pungufu.
Achana nalo hilo na mahaba yake maana hatumii akili zake bali hisia zake.
Mzee baba recod huwa zinavunjwa, yaan kiufupi recod zipo ili zivunjwe, ninawaaminia majogoo ila sjawa-underestimate barca....lolote laweza kutokea ila kur yangu nawapa majogooSASA NATAKA NIONE MM NA WW NANI ANAJUA TIMU VZURI NA NAKUAMBIA ENDELEA KUSUBIRI LIVER IFUNGE BARCA BADO DAKIKA CHACHE TUKITANE CAMP NOU. MZEE MM SIONGELEI USHABIKI NAONGELEA UHALISIA TMU PEKEE UINGEREZA INAYOISUMBUAGA BARCA N CHELSEA NA KIDOGO ARSENAL. NAANGALIA FORMATION SIANGALII UKUBWA WA TMU MIMI.
Uingereza zinatmu nzur Sana lakn kwenye swala la uefa mzee Spain ni habar nyingine simnaona kla mwaka tmu pekee ambayo ingefka Huku bla kutolewa ningesema inaweza kuitoa Barca labda MAN CITY lakin zilizobaki zote za uingereza kuotoa Barca n ndoto ya alinacha na mtanipa mrejesho Leo SAA sitaMzee baba recod huwa zinavunjwa, yaan kiufupi recod zipo ili zivunjwe, ninawaaminia majogoo ila sjawa-underestimate barca....lolote laweza kutokea ila kur yangu nawapa majogoo
Liver ashinde ndani ya camp nou? Liver akishinda hapo sibet Tena na naacha kuingia jamii forum kabsaa. Siongelei ushabiki Wala mahaba naongelea ualisia. Barca Ni kubwa Sana kulko liver wale jamaa wana mbinu za uefa hujapata kuona na Leo ndo mtaona ukweliWakuu nimebet laki 2 liver anashinda
Sorry mkuu I mean liver anashindwa,nikimaanisha Barca anashinda,kwa mtazamo wangu liver hachomokiLiver ashinde ndani ya camp nou? Liver akishinda hapo sibet Tena na naacha kuingia jamii forum kabsaa. Siongelei ushabiki Wala mahaba naongelea ualisia. Barca Ni kubwa Sana kulko liver wale jamaa wana mbinu za uefa hujapata kuona na Leo ndo mtaona ukweli
Mkuu unazingua ,yaan mancity mdebwedo ile ndo unaiaminia, una mahaba sana mkuu, kuna makocha wababe wa UEFA ila sio Guardiola, Guardiola anaweza relay tuu ila issue za kuoteana kama UEFA hawez...alafu acha kukariri ndugUingereza zinatmu nzur Sana lakn kwenye swala la uefa mzee Spain ni habar nyingine simnaona kla mwaka tmu pekee ambayo ingefka Huku bla kutolewa ningesema inaweza kuitoa Barca labda MAN CITY lakin zilizobaki zote za uingereza kuotoa Barca n ndoto ya alinacha na mtanipa mrejesho Leo SAA sita
Kuna tmu uingereza yenye washambuliaji wazuri na tmu yenye kikosi kipana Kama man city? Ndo maana nasema watu hawaongelei UHALISIA wanaongelea mahaba. Yaan man city unaweza fananisha na Liverpool tmu inayokarbia na tayar uhakika 100% kuchukua EPLMkuu unazingua ,yaan mancity mdebwedo ile ndo unaiaminia, una mahaba sana mkuu, kuna makocha wababe wa UEFA ila sio Guardiola, Guardiola anaweza relay tuu ila issue za kuoteana kama UEFA hawez...alafu acha kukariri ndug
Sawa ina udhaifu lakn syo kwa tmu za uingereza haziwez kufunga tmu za Spain kamweBarca ina udhaifu.
Ikishinda leo navua nguo.
Timu za England sijui zinakwama wapi,timu kubwa kama man city inaweza kupigwa na timu kama Sevilla au VillarrealMkuu unazingua ,yaan mancity mdebwedo ile ndo unaiaminia, una mahaba sana mkuu, kuna makocha wababe wa UEFA ila sio Guardiola, Guardiola anaweza relay tuu ila issue za kuoteana kama UEFA hawez...alafu acha kukariri ndug
Duh aya Bhana...et Man city, Mpira ni zaid ya kikosi ndug, kwenye UEFA hakuna cha kikosi , unapigwa tu hata kama una kikosi kipana namna gan, kikosi kipana kinakusaidia tu kwenye league maana ni mbio ndefu, Uefa ni timing, mbinu ndo zinatumika sana, sio style ya mchezo...inaonekana we sio mchambuzi deeply unaangalia mambo yanavyoenda ndo unatoa hoja..okey pouwKuna tmu uingereza yenye washambuliaji wazuri na tmu yenye kikosi kipana Kama man city? Ndo maana nasema watu hawaongelei UHALISIA wanaongelea mahaba. Yaan man city unaweza fananisha na Liverpool tmu inayokarbia na tayar uhakika 100% kuchukua EPL