Jogoo anachinjwa leo asubuhi tu pale Nou Camp

Nakazia Barca huyo huyo alitolewa pale kwake Nou Camp na vidume Chelsea wakiwa pungufu.

Achana nalo hilo na mahaba yake maana hatumii akili zake bali hisia zake.
Baka huyo huyo alipigwa nusu fainali na man u 2008, Baca bora kabisa ambayo haijawah kutokea na wala haitatokea ilipigwa na inter nusu fainal 2010...mbna unataka kutuaminisha hewa
 
Nakazia Barca huyo huyo alitolewa pale kwake Nou Camp 2012 na vidume Chelsea wakiwa pungufu.

SASA NATAKA NIONE MM NA WW NANI ANAJUA TIMU VZURI NA NAKUAMBIA ENDELEA KUSUBIRI LIVER IFUNGE BARCA BADO DAKIKA CHACHE TUKITANE CAMP NOU. MZEE MM SIONGELEI USHABIKI NAONGELEA UHALISIA TMU PEKEE UINGEREZA INAYOISUMBUAGA BARCA N CHELSEA NA KIDOGO ARSENAL. NAANGALIA FORMATION SIANGALII UKUBWA WA TMU MIMI.
 
Sawa mm Nina mahaba na Barca lakn nataka nawakumbushe na kuwaambia tmu za hispania ni Bora na zinaviwango vikubwa kuliko za uingereza japo kuwa uingereza ndo ligi Bora kwa sababu zinaupinzan Sana. Mkumbuke misimu miwili ya Hyo kocha wa barca ucl na laliga kafungwa mechi 3 tu. Naomba tukutane saa 10:45
 
SASA NATAKA NIONE MM NA WW NANI ANAJUA TIMU VZURI NA NAKUAMBIA ENDELEA KUSUBIRI LIVER IFUNGE BARCA BADO DAKIKA CHACHE TUKITANE CAMP NOU. MZEE MM SIONGELEI USHABIKI NAONGELEA UHALISIA TMU PEKEE UINGEREZA INAYOISUMBUAGA BARCA N CHELSEA NA KIDOGO ARSENAL. NAANGALIA FORMATION SIANGALII UKUBWA WA TMU MIMI.
Mzee baba recod huwa zinavunjwa, yaan kiufupi recod zipo ili zivunjwe, ninawaaminia majogoo ila sjawa-underestimate barca....lolote laweza kutokea ila kur yangu nawapa majogoo
 
Uingereza zinatmu nzur Sana lakn kwenye swala la uefa mzee Spain ni habar nyingine simnaona kla mwaka tmu pekee ambayo ingefka Huku bla kutolewa ningesema inaweza kuitoa Barca labda MAN CITY lakin zilizobaki zote za uingereza kuotoa Barca n ndoto ya alinacha na mtanipa mrejesho Leo SAA sita
 
Liver ashinde ndani ya camp nou? Liver akishinda hapo sibet Tena na naacha kuingia jamii forum kabsaa. Siongelei ushabiki Wala mahaba naongelea ualisia. Barca Ni kubwa Sana kulko liver wale jamaa wana mbinu za uefa hujapata kuona na Leo ndo mtaona ukweli
Sorry mkuu I mean liver anashindwa,nikimaanisha Barca anashinda,kwa mtazamo wangu liver hachomoki
 
Uingereza zinatmu nzur Sana lakn kwenye swala la uefa mzee Spain ni habar nyingine simnaona kla mwaka tmu pekee ambayo ingefka Huku bla kutolewa ningesema inaweza kuitoa Barca labda MAN CITY lakin zilizobaki zote za uingereza kuotoa Barca n ndoto ya alinacha na mtanipa mrejesho Leo SAA sita
Mkuu unazingua ,yaan mancity mdebwedo ile ndo unaiaminia, una mahaba sana mkuu, kuna makocha wababe wa UEFA ila sio Guardiola, Guardiola anaweza relay tuu ila issue za kuoteana kama UEFA hawez...alafu acha kukariri ndug
 
Kuna tmu uingereza yenye washambuliaji wazuri na tmu yenye kikosi kipana Kama man city? Ndo maana nasema watu hawaongelei UHALISIA wanaongelea mahaba. Yaan man city unaweza fananisha na Liverpool tmu inayokarbia na tayar uhakika 100% kuchukua EPL
 
Timu za England sijui zinakwama wapi,timu kubwa kama man city inaweza kupigwa na timu kama Sevilla au Villarreal
 
Kuna tmu uingereza yenye washambuliaji wazuri na tmu yenye kikosi kipana Kama man city? Ndo maana nasema watu hawaongelei UHALISIA wanaongelea mahaba. Yaan man city unaweza fananisha na Liverpool tmu inayokarbia na tayar uhakika 100% kuchukua EPL
Duh aya Bhana...et Man city, Mpira ni zaid ya kikosi ndug, kwenye UEFA hakuna cha kikosi , unapigwa tu hata kama una kikosi kipana namna gan, kikosi kipana kinakusaidia tu kwenye league maana ni mbio ndefu, Uefa ni timing, mbinu ndo zinatumika sana, sio style ya mchezo...inaonekana we sio mchambuzi deeply unaangalia mambo yanavyoenda ndo unatoa hoja..okey pouw
 
Hii game ina uhaba mkubwa wa magoli. Hii mido aliyopanga Klopp sijui ni vipi Barca wataimudu. Counter 1 tu liverpool wanamaliza mchezo.

Cc #liverpool#
 
Uwanja upo full. Umependeza kwa rangi za club ya barca. Hakika huu ni usiku wa ulaya.
 
Back
Top Bottom