kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
[emoji23] [emoji23]Jogoo wa dar muda wote wanawika..mwanzo ilinishangaza kidogo. Sijawahi sikia kuku akiwika saa 6 au saa 8 usiku.
Nilichogundua haya makuku ya kisasa ndio vichwa vyao havijui muda upi ni upi
Aisee chalii yangu usimchinje ukifanya hivyo utamchinja mwana damu. Piga magoti na kusema Yesu shuka utakuwa umemaliza Mara moja huo upuuzNi jambo la ajabu sana sikuwahi kusikia.Ila kuna jogoo anasumbua sana.Anawika muda huu.Hivi hii ni kawaida kweli?
Ningekuwa mmiliki ningemchinja akawa kitoweo,anafanya ujinga sana
Acha ujinga wewe, mwenzio kashikika huyo, ujue Leo hajapata kabisa. Hapo anaona night ndefu kinyama. Ndio maana kaamua kuwazinguaNi jambo la ajabu sana sikuwahi kusikia.Ila kuna jogoo anasumbua sana.Anawika muda huu.Hivi hii ni kawaida kweli?
Ningekuwa mmiliki ningemchinja akawa kitoweo,anafanya ujinga sana
Hahaha dah jamaa umefanya nicheke usiku huu.Jogoo wa dar muda wote wanawika..mwanzo ilinishangaza kidogo. Sijawahi sikia kuku akiwika saa 6 au saa 8 usiku.
Nilichogundua haya makuku ya kisasa ndio vichwa vyao havijui muda upi ni upi
Ni jambo la ajabu sana sikuwahi kusikia.Ila kuna jogoo anasumbua sana.Anawika muda huu.Hivi hii ni kawaida kweli?
Ningekuwa mmiliki ningemchinja akawa kitoweo,anafanya ujinga sana