Jogoo anawika sasa hivi saa Tano Kasoro usiku hapa Shinyanga. Hii ni nini?

Jogoo anawika sasa hivi saa Tano Kasoro usiku hapa Shinyanga. Hii ni nini?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Ni jambo la ajabu sana sikuwahi kusikia. Ila kuna jogoo anasumbua sana. Anawika muda huu. Hivi hii ni kawaida kweli?

Ningekuwa mmiliki ningemchinja akawa kitoweo, anafanya ujinga sana
 
Jogoo wa dar muda wote wanawika..mwanzo ilinishangaza kidogo. Sijawahi sikia kuku akiwika saa 6 au saa 8 usiku.
Nilichogundua haya makuku ya kisasa ndio vichwa vyao havijui muda upi ni upi
 
Jogoo wa dar muda wote wanawika..mwanzo ilinishangaza kidogo. Sijawahi sikia kuku akiwika saa 6 au saa 8 usiku.
Nilichogundua haya makuku ya kisasa ndio vichwa vyao havijui muda upi ni upi
[emoji23] [emoji23]
 
Ni jambo la ajabu sana sikuwahi kusikia.Ila kuna jogoo anasumbua sana.Anawika muda huu.Hivi hii ni kawaida kweli?

Ningekuwa mmiliki ningemchinja akawa kitoweo,anafanya ujinga sana
Aisee chalii yangu usimchinje ukifanya hivyo utamchinja mwana damu. Piga magoti na kusema Yesu shuka utakuwa umemaliza Mara moja huo upuuz
 
Itakuwa mshana jr na kamati zake wapo nje kwako kwa shughuli maalumu,utakabwa leo usiku usingizini mpaka utaomba poo
 
Huyu kuku anatumiwa boss mwache tu sema shindwa ibilisi tooka
 
Ni jambo la ajabu sana sikuwahi kusikia.Ila kuna jogoo anasumbua sana.Anawika muda huu.Hivi hii ni kawaida kweli?

Ningekuwa mmiliki ningemchinja akawa kitoweo,anafanya ujinga sana
Acha ujinga wewe, mwenzio kashikika huyo, ujue Leo hajapata kabisa. Hapo anaona night ndefu kinyama. Ndio maana kaamua kuwazingua
 
Sio isue yakuitilia maanani,jogoo hasa hawa chotara hawapo makini kwenye muda wa kuwika,mi ninao hapa kwangu wanawika hata saa tatu usiku,na kama hilo nikilichukuwa kwamba wanakosea na wanastahil wachinjwe basi nitachinja banda zima,punguza Imani zakishirikina utachanganyikiwa
 
Nilijua ni Dar es Salaam, maana hili jiji ukiwa huna saa/simu ya kukusaidia kuonesha muda ukitegemea kuamshwa na jogoo uwahi safari ya mkoani.

Unaweza jikute uko kituo cha gari cha kuelekea stendi saa 4:00 usiku, maana hawana muda maalamu wa kuwika.Huko kanda ya ziwa achinjwe tu huyo jogoo maana anasababisha taharuki kwenu.
 
Jogoo wa dar muda wote wanawika..mwanzo ilinishangaza kidogo. Sijawahi sikia kuku akiwika saa 6 au saa 8 usiku.
Nilichogundua haya makuku ya kisasa ndio vichwa vyao havijui muda upi ni upi
Hahaha dah jamaa umefanya nicheke usiku huu.
 
We sema unahamu na kuku unamda hujala tangia Corona virus ikuje sasa unasingizia kelele. Omba tufanye Harambe ule asee
Ni jambo la ajabu sana sikuwahi kusikia.Ila kuna jogoo anasumbua sana.Anawika muda huu.Hivi hii ni kawaida kweli?

Ningekuwa mmiliki ningemchinja akawa kitoweo,anafanya ujinga sana
 
Back
Top Bottom