Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 17
- Thread starter
-
- #21
Huyo, umemkosa, ukiwa makini unawezamfanyia timing ukajaribu tena kama bado uko fit au la. Kwani? baada ya hapo ulistuastua ukakuta upo fresh?isije ikawa ndio mojakwamoja umekuwa padri. Mambo haya yanaweza sababisha ukashindwa,
1.pressure,2.uchovu mwingi baada ya kazi nzito,kushinda na njaa. Jaribu tena.
hawakufanza nini B wa ukweli?π
Hivi uchi unafananaje?Sipati picha!!
kwani mpaka wakavua na kubaki utupu walikuw ana lengo gani B?? KUOGELEA??
hahaaaaa!!!
dah maswali mengine bana...............Hivi uchi unafananaje?Sipati picha!!
asa mbona unaniuliza tena swali nilokuuliza? manake ya kwako ilikuwa statement kwamba "bora hawakufanza."..sasa hawakufanza nini B? LOL
mimi ni mtanzania na hicho ndo kitambulisho changu
swali juu ya swali
walitaka kungonolize hao wakina soulbro.....
Alikuandaa kabla ya shuguli? alikuwa msafi? hivi pia huwa vinachangia tukio kama hilonimecheki nipo freshi, hata nikipita threads za mambo ya kikubwa, naona system zote zinafanya kazi... lakini jana.. aisee sijui nikwambiaje
lol..sasa hapo ngoja nitafute dictionary. sasa sijui itakuwa ya kugha gani
by the way B, umeona leo nimefikisha post ngapi kweli? au huangaliagi kabisa lol
ha ha ha ivi wanasemaga amezama kwenye dimbwi la mapenzi au bahari ya mapenzi!! kama ni dibwi katu huwezi ogelea utajipaka tope!kwani mpaka wakavua na kubaki utupu walikuw ana lengo gani B?? KUOGELEA??
hahaaaaa!!!
Naomba ushauri
afu wewe uko wapi?ππ
Aiii binamu naona umenichoka umenichoka kabsa nkinki lae??? Ngikukaba nikikuona haki tena............mweee
ha ha ha ivi wanasemaga amezama kwenye dimbwi la mapenzi au bahari ya mapenzi!! kama ni dibwi katu huwezi ogelea utajipaka tope!
Sasa imefika saa sita hajawasiliana na mimi... nina wasiwasi
Je nimwambie nini?
Ni mara ya kwanza hili limenitokea, je ni jambo la kawaida.
Mwanamke atanielewa ama ndo imetoka?
Naomba ushauri
ha ha ha swali lipo hapo juu..Ushauri kuhusu nini? Afya, uasharati, mahusiano yasiopimwa na TBS, ukicheche, mpenzi-rafiki, au .....?
hicho kinyumbani ila tuki litakuwepo maana wametohoa hilo neno.
dah B siangaliagi kabisa hizo kitu, una ngapi basi tukupongeze japo kwa manguli!!!??
khaa..Mfamaji, Invisible kakataa kuspeculate mambo ya watu ohooo ukipigwa ban shauri yakoπMwee ---Mrombo haswaaaaaa?