Jogoo hakuwika mjini

Jogoo hakuwika mjini

Huyo, umemkosa, ukiwa makini unawezamfanyia timing ukajaribu tena kama bado uko fit au la. Kwani? baada ya hapo ulistuastua ukakuta upo fresh?isije ikawa ndio mojakwamoja umekuwa padri. Mambo haya yanaweza sababisha ukashindwa,
1.pressure,2.uchovu mwingi baada ya kazi nzito,kushinda na njaa. Jaribu tena.

nimecheki nipo freshi, hata nikipita threads za mambo ya kikubwa, naona system zote zinafanya kazi... lakini jana.. aisee sijui nikwambiaje
 
kwani mpaka wakavua na kubaki utupu walikuw ana lengo gani B?? KUOGELEA??

hahaaaaa!!!

asa mbona unaniuliza tena swali nilokuuliza? manake ya kwako ilikuwa statement kwamba "bora hawakufanza."..sasa hawakufanza nini B? LOL
 
asa mbona unaniuliza tena swali nilokuuliza? manake ya kwako ilikuwa statement kwamba "bora hawakufanza."..sasa hawakufanza nini B? LOL

mimi ni mtanzania na hicho ndo kitambulisho changu
swali juu ya swali
walitaka kungonolize hao wakina soulbro.....
 
mimi ni mtanzania na hicho ndo kitambulisho changu
swali juu ya swali
walitaka kungonolize hao wakina soulbro.....

lol..sasa hapo ngoja nitafute dictionary. sasa sijui itakuwa ya kugha gani

by the way B, umeona leo nimefikisha post ngapi kweli? au huangaliagi kabisa lol
 
nimecheki nipo freshi, hata nikipita threads za mambo ya kikubwa, naona system zote zinafanya kazi... lakini jana.. aisee sijui nikwambiaje
Alikuandaa kabla ya shuguli? alikuwa msafi? hivi pia huwa vinachangia tukio kama hilo

Pls note: hata mwanaume anaadaliwa kabla ya shuguli.
 
lol..sasa hapo ngoja nitafute dictionary. sasa sijui itakuwa ya kugha gani

by the way B, umeona leo nimefikisha post ngapi kweli? au huangaliagi kabisa lol

hicho kinyumbani ila tuki litakuwepo maana wametohoa hilo neno.

dah B siangaliagi kabisa hizo kitu, una ngapi basi tukupongeze japo kwa manguli!!!??
 
kwani mpaka wakavua na kubaki utupu walikuw ana lengo gani B?? KUOGELEA??

hahaaaaa!!!
ha ha ha ivi wanasemaga amezama kwenye dimbwi la mapenzi au bahari ya mapenzi!! kama ni dibwi katu huwezi ogelea utajipaka tope!
 
I think kuna kitu mwenyezi mungu alikuepusha nacho, yaani unakuwa tayari kunanihii mapema hivyo. Ukweli ni kuwa hukuwa na msimamo mpaka unaingia naye room pia inawezekana ulikurupuka sana. Ushauri wangu kama kweli uko serious fuata procedures zinazojulikana bro, she is is now waiting for your call (dying to hear ur voice)
 
ha ha ha ivi wanasemaga amezama kwenye dimbwi la mapenzi au bahari ya mapenzi!! kama ni dibwi katu huwezi ogelea utajipaka tope!

hahaaaaa dimbwi la matope!!!!
 
Sasa imefika saa sita hajawasiliana na mimi... nina wasiwasi
Je nimwambie nini?
Ni mara ya kwanza hili limenitokea, je ni jambo la kawaida.
Mwanamke atanielewa ama ndo imetoka?
Naomba ushauri

Ushauri kuhusu nini? Afya, uasharati, mahusiano yasiopimwa na TBS, ukicheche, mpenzi-rafiki, au .....?
ha ha ha swali lipo hapo juu..
 
hicho kinyumbani ila tuki litakuwepo maana wametohoa hilo neno.

dah B siangaliagi kabisa hizo kitu, una ngapi basi tukupongeze japo kwa manguli!!!??

hata kuisoma kimoyo moyo B? dah
 
Back
Top Bottom