Jogoo hapandi majike, nifanyeje?

Jogoo hapandi majike, nifanyeje?

N
Hili nii jukwaa huru ni haki yangu kuuliza ambacho sikijui ili nipate majibu , kama huna jibu ni vyema ukakaa kimya
In bora ukakaa kimya kuliko kuendelea kunijibu jibu nitakupa jibu moja mpaka utaenda kuwaomba msamaha wazazi wako
 
Yapande wewe, maana sasa umeanza ingilia mambo ya kuku yasiyokuhusu.
Umemjibu vyema maana fala ameona hadi maswali ya kuku kupandana alete J. F, foolishness!
Kuna siku ataleta mada anaekunya kinyesi cheusi
 
Nimeanza ufugaji wakuku wa kienyeji, nimeanza na kuku jike 3, jogoo 1 ila saizi ni mwezi wa pili sioni Jogoo hata akikimbiza kuku wa kike nifanyaje?
Jogoo wanapanda wakati ukifika siyo kama wewe unavyotaka
 
Back
Top Bottom