realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Inaelekea unapenda majogoo yakiamka asubuhi asubuhi,sisi tunaamshaa saa zote sio asubuhi tuu,lakin hatusemiMimi sioni tatizo sababu kitu kiketokea asubuhi akaona aombe ushauri, hakuna muda maalum wa kupost vitu JF, ila kama inakukera pia unaweza kupita kimyakimya bila kuchangia , povu veepe jombaa
Duuh..!! sawa basiInaelekea unapenda majogoo yakiamka asubuhi asubuhi,sisi tunaamshaa saa zote sio asubuhi tuu,lakin hatusemi
Pole sana bwana mdogo.....
Ukubwa wa tatizo ni vile wewe unavyolichukulia.......haikupaswi kukariri kuwa kila ukiamka asubuhi lazima mlingoti usimame.....inategemea wakati upo kwenye wakati gani kifikra......
Suala lote linalohusiana na ngono linataka utayari kifikra na kimwili....
Mimi enzi zangu nilikaa kwa muda wa mwaka mzima bila ya mlingoti kuamka asubuhi....lakini nilijuwa kuwa napitia hayo kwa kuwa nilikuwa nakabiliwa na mambo magumu....ni kama mtalimbo ulikwa likizo.....
Lakini nikija kuuwesha bado makali yapo pale pale.....
Usipanic kijana....kujua tatizo ndio mwanzo wa kulitatua tatizo.....lakini nina hakika kuwa tatizo lako lipo kifikra zaidi na wala sio kiuhalisia kama vile ambavyo wewe unataka kulipeleka......au kulikuza.....
Bwaga moyo wako na ujitahidi kufurahia wakati pamoja na ndugu jamaa na marafiki......usiweke vitu moyoni....usijinyime raha kwa jambo lililo nje ya uwezo wako.....
Justi chill....and relaaaaxx......
Life is so simple....why complicate it....!???
sijawahi kutilia shaka michango yako humu jukwaani, unaonesha ulivyo smart kwenye kila uchangiaji wako. I will find a way to reach you.Pole sana bwana mdogo.....
Ukubwa wa tatizo ni vile wewe unavyolichukulia.......haikupaswi kukariri kuwa kila ukiamka asubuhi lazima mlingoti usimame.....inategemea wakati upo kwenye wakati gani kifikra......
Suala lote linalohusiana na ngono linataka utayari kifikra na kimwili....
Mimi enzi zangu nilikaa kwa muda wa mwaka mzima bila ya mlingoti kuamka asubuhi....lakini nilijuwa kuwa napitia hayo kwa kuwa nilikuwa nakabiliwa na mambo magumu....ni kama mtalimbo ulikwa likizo.....
Lakini nikija kuuwesha bado makali yapo pale pale.....
Usipanic kijana....kujua tatizo ndio mwanzo wa kulitatua tatizo.....lakini nina hakika kuwa tatizo lako lipo kifikra zaidi na wala sio kiuhalisia kama vile ambavyo wewe unataka kulipeleka......au kulikuza.....
Bwaga moyo wako na ujitahidi kufurahia wakati pamoja na ndugu jamaa na marafiki......usiweke vitu moyoni....usijinyime raha kwa jambo lililo nje ya uwezo wako.....
Justi chill....and relaaaaxx......
Life is so simple....why complicate it....!???
Kwani wewe papuchi anawikaga?Haa..mabwaku,tafuta upupu uwe unampaka ataamka yu
nani alikwambia ukiamka lazima jogoo awe amesimama?Nina Mwez Na Nusu Sasa Kila nikiamka Asbhi Jogoo Wangu Kalala Tu Tofaut Na Huko Nyuma....Ushaur Cha Kufanya Hapa Kabla Sijaadhirika Mwenzenu.
Mkuu unaamkaga sangapi asubuh? inawezekana wakati jogoo anawika wewe upo usingizini......Nina Mwez Na Nusu Sasa Kila nikiamka Asbhi Jogoo Wangu Kalala Tu Tofaut Na Huko Nyuma....Ushaur Cha Kufanya Hapa Kabla Sijaadhirika Mwenzenu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hapo ndo unapofeli Acha mara moja fasterrrrSipig pul mkuu ila ni mpenz sana wa porn movies
Umeadhirika sana, Tiba inaweza sumbuaSipig pul mkuu ila ni mpenz sana wa porn movies
Mkuu Dah! Pole sana Mimi ni Victim Kama Wewe!! Mkuu Mwanzo Nilikuwa Nikigonga tu Demu basi Napiga Double-Double Mpaka Demu tafrani Kitandani Anadai Likizo Mwenyewe! Na Alfajiri Mtu Mzima Dedee!! Lakini si Nikaja Nikaingia Kwenye Kupiga Puli Na Kuangalia Porno, Ona Sasa Nuksi iliyonikumba! Naitafuta Double Wapi!! Alfajiri Dede iko wapi!! Kwisha Habari yangu, Bao Moja tu Chali.....
Nimeamua Kuacha Kupiga Chaputa/Puli, Sasahivi Ndiyo Kidogo Naanza Kujirecover.
Mkuu Nilikuaga Na Demu Mmoja Hivi, Alikuwa Anapendaga Sana Kunifanyisha Huo Mchezo Kabla ya Kumgonga Mpaka Nikawa Addicted.Kwanini ulianza puli wakati ulishakuwa na mademu au walikimbia hizo double double?
Pole sanakijana nitafute nikutibie upate kuponaNi kijana 27 yrs, hilo tatizo limenikumba mwezi na nusu sasa. Kila ninapoamka asubuhi jogoo kalala tu imefika wakati naogopa kukutana na mtu wangu nikiogopa kudhalilika. Msaada tafadhali
Cc: MziziMkavu
Hapo kuna kifaa maalum ambacho hufungwa kwenye uume na kurekodi uongezekaji wa size ya uume kwa usiku mzima.Ila hata ile kukuta iko vizuri asubuhi ni dalili njema, sasa ukiwa na mashaka ndipo itabidi uhudhurie hospitali upimwe kwa hicho kifaa, ila kibongobongo hatujafikia hukoMkuu trigeminal nitajuaje ya kuwa uume umesimama mara 3-5 kwa usiku mmoja hali ya kuwa nimelala usingizi?.Mimi mara nyingi huwa najikuta siku nyingine nikiamka asubuhi saa 5.40 a.m na kuendelea nimesimamisha ila huo usiku sina uhakika. tuchangie uzoefu hapa tafadhali!!