realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Inaelekea unapenda majogoo yakiamka asubuhi asubuhi,sisi tunaamshaa saa zote sio asubuhi tuu,lakin hatusemiMimi sioni tatizo sababu kitu kiketokea asubuhi akaona aombe ushauri, hakuna muda maalum wa kupost vitu JF, ila kama inakukera pia unaweza kupita kimyakimya bila kuchangia , povu veepe jombaa