kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
ACHA Kujichua SASA sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nae si mlaji kwanin asichangie, tena mlaji ndio anajua kuku yupi anafaa, kumtunza, dawa akiwa doro n.kWewe binti wewe!!! Majogoo yetu yanakuhusu nini wewe binti mpaka unaingilia kutoa ushauri?
Acha kuangalia hizo mambo zinazingua sanaSipig pul mkuu ila ni mpenz sana wa porn movies
Huwa nakukubali sana mkuu,Mara nying nikiona jina lako huwa sipiti bila kusoma comment yako maana najua kuna kitu nitaambulia..Big up sana NA ulichokiongea inawezkana ikawa source maana hapa nilipo nipo kwwnye transition period ktk maisha yangu nikiwa NA mawazo tele kwa kichwa changu pengine inawwza kuwa ni chanzo......All in all keep it up bro! I always appreciates ur contributions to all members of Jf.
Mpiga puri mstaafu!iyo kitu huwaga inanitokea pia aisee coz nina mlundikano wa mawazo milioni na kipind cha nyuma nilikua mpiga puli
hah hah hah hahKwani nae si mlaji kwanin asichangie, tena mlaji ndio anajua kuku yupi anafaa, kumtunza, dawa akiwa doro n.k
vipi we ushaacha?Mpiga puri mstaafu!
Wastaafu wapo wengMpiga puri mstaafu!
Kisayansi kusimama kwa uume wakati wa usiku hutokea bila kujijua "unconsciously" hii inaitwa nocturnal penile tumescence (NPT) na hutokea katika REM phase (Rapid eye movement) ya usingizi, kwa mwanaume wa kawaida asiye na matatizo inapaswa kutokea mara 3-5 kwa usiku mmoja, kama haitokei hivyo basi una matatizo flani either physical au psychological,Unataka asimame asubuhi ili nini?kafanye kazi acha kuwaza mapenzi asubuhi yote hii
Sasa asubuhi asubuhi hivi,unaleta jf,si ujifanyie utafiti wako kimya kimyaKisayansi kusimama kwa uume wakati wa usiku hutokea bila kujijua "unconsciously" hii inaitwa nocturnal penile tumescence (NPT) na hutokea katika REM phase (Rapid eye movement) ya usingizi, kwa mwanaume wa kawaida asiye na matatizo inapaswa kutokea mara 3-5 kwa usiku mmoja, kama haitokei hivyo basi una matatizo flani either physical au psychological, hii kitu ni muhimu kwa sababu tissue za uume zinahitaji oxygen na virutubisho ili ziweze kuwa na afya na kuufanya uume wako uwe na nguvu ,sasa uume unaposimama kwa kujaa damu wakati wa usiku unapokua umelala na hakuna usumbufu wowote tissue zinapata wakati mzuri wa kufyonza virutubisho kutoka kwenye damu na uume utakua na afya, kusipotokea hicho kitu tissue za uume wako hazitapata virutubisho vya kutosha hivyo kusababisha uume kusinyaa.
Kwa hiyo tukio hili ni muhimu tusilichukulie poa, kama hupigi puli basi punguza stress mambo yaende vizuri, au kachek magonjwa yanayopunguza mzunguko wa damu kama presha na kisukari, pia fanya mazoezi ya viungo kusaidia mzunguko wa damu.
CONCLUSION: Uume kusimama wakati wa usiku au asubuhi ni muhimu kwa afya ya uume wako.
Mimi sioni tatizo sababu kitu kiketokea asubuhi akaona aombe ushauri, hakuna muda maalum wa kupost vitu JF, ila kama inakukera pia unaweza kupita kimyakimya bila kuchangia , povu veepe jombaaSasa asubuhi asubuhi hivi,unaleta jf,si ujifanyie utafiti wako kimya kimya
Dr ntakutafutaKunywa maji mengi kabla ya kulala, yanaleta usumbufu wa kuamka kwenda msalani lakini yanasaidia body hydration. Mwili ukipungukiwa na maji hata BP inashuka. Kingine ni kujijengea utaratibu wa kufanya mazoezi.
Duu humpendi wenzio..Upupu tena,akiwashwa itabidi umsaidie kumkunaHaa..mabwaku,tafuta upupu uwe unampaka ataamka yu
Watu kama hao ni kuwapotezea tu mkuu lasivyo watakuumiza kichwa tuMimi sioni tatizo sababu kitu kiketokea asubuhi akaona aombe ushauri, hakuna muda maalum wa kupost vitu JF, ila kama inakukera pia unaweza kupita kimyakimya bila kuchangia , povu veepe jombaa