Jogoo kaniaibisha mbele ya mchepuko

Jogoo kaniaibisha mbele ya mchepuko

Shukuru Mungu. Leo ndiyo ilikuwa siku yako ya kupata UKIMWI umpelekee na mkeo wote muanze kufakamia ma ARVs mfubae kama ngozi ya magotini. Leo Mungu Amekuokoa. Ukifika home ingia bedroom, piga sala ya nguvu, kemea hilo pepo na wife akija kuangalia kinachoendelea kamata halafu mpelekee moto wa uhakika. Tena lia kabisa leo ukiweza. Pambafu [emoji16]
Asante
 
Wakuu mpaka nacheka yani,nilipata ka mchepuko siku sio nyingi sasa katika harakati za kunipa tunda tukakubaliana leo

Sasa bwana tukaenda zetu lodge maajabu mashine imegoma kabisa kusimama [emoji3][emoji3] daah hata sielewi mpaka najicheka yani najiuliza naumwa au maombi ya wife maana wife anasali sana afu namkubali sana

Wakuu sielewi yani

Yote kwa yote sitorudia tena Kuchepuka ee Mungu nisaidie [emoji120]
Ishanitokea kwa demu mmoja mara mbili mashine imegoma kusimama, mpaka demu anashangaa, na leo tena kaja gheto nilimpania ila kaja na mwanae ambae nae ni mkubwa tena kamtambulisha kabisa yani 'hes your step dady' kwa hiyo leo nayo sijafanikiwa kupiga mshipa dah,,,,
 
Dah mkuu me nahi kama kuna kitu unakuwa umeepushwa bila wewe kujua
 
Wakuu mpaka nacheka yani,nilipata ka mchepuko siku sio nyingi sasa katika harakati za kunipa tunda tukakubaliana leo

Sasa bwana tukaenda zetu lodge maajabu mashine imegoma kabisa kusimama [emoji3][emoji3] daah hata sielewi mpaka najicheka yani najiuliza naumwa au maombi ya wife maana wife anasali sana afu namkubali sana

Wakuu sielewi yani

Yote kwa yote sitorudia tena Kuchepuka ee Mungu nisaidie [emoji120]
Hiyo imeokoa maisha yako.Mshukuru Mungu mkuu
 
Inakuwaje mpaka ikasimamie gest!? Mie nikipigiwa simu tu "bby nakuja kesho" nipo njiani, tukutane pale kwa siku zote, tayari boro yeung anagangamala kama jiti.. [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka Kama mwehu
 
Back
Top Bottom