Jogoo niliyemnunua kwa ajili ya kitoweo anawika mfululizo, nifanyaje?

Leo nimenunua kuku (jogoo) kwa ajili ya kitoweo cha kesho lakini tangu nimemfikisha nyumbani anawika sana. Yaani japo nimemfunga lakini anawika mfululizo kama kuna mashindano.

Hii siyo kawaida kabisa, maana nimenunua mamia ya kuku kwa kitoweo ila hawakuwa kama huyu wa leo. Yaani sijui anawaza amekuja kustarehe hapa kwangu? Inaonyesha ni kiasi gani ana dharau sana huyu kuku, yaani anawika nyumbani kwangu!

Nimfanyaje anyamaze hadi kesho siku ambayo nitamchinja?

Nimechoka makelele...
Umesema umemnunua kwa ajili ya kitoweo na siyo wa kufuga, mchinje hifadhi kwenye friji hadi siku utakapotaka kumla
 
Leo nimenunua kuku (jogoo) kwa ajili ya kitoweo cha kesho lakini tangu nimemfikisha nyumbani anawika sana. Yaani japo nimemfunga lakini anawika mfululizo kama kuna mashindano.

Hii siyo kawaida kabisa, maana nimenunua mamia ya kuku kwa kitoweo ila hawakuwa kama huyu wa leo. Yaani sijui anawaza amekuja kustarehe hapa kwangu? Inaonyesha ni kiasi gani ana dharau sana huyu kuku, yaani anawika nyumbani kwangu!

Nimfanyaje anyamaze hadi kesho siku ambayo nitamchinja?

Nimechoka makelele...
anawika sauti yake yooote iishe ili asife na sauti yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom